Uwekezaji bandari. Mwenye masikio na asikie

Uwekezaji bandari. Mwenye masikio na asikie

mambio

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2017
Posts
2,668
Reaction score
3,428

Kumbe kunawaliojaribu kuishauri serikali.
Mambo ni mengi muda mchache.
Kula chuma hichoo!
 

Watanzania hawajaridhika na uwekezaji wa bandari, serikali isione aibu kuachana nao​

 
Hoja. Hicho kikengere kiondolewe bungeni, tuna hitaji hao watu wanao tuwakilishe waongee yote kuhusu sisi wananchi na wanachokijua (mawazo yao)
 
Back
Top Bottom