Uwekezaji eneo la Ubungo Maji

Uwekezaji eneo la Ubungo Maji

Sueky

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
320
Reaction score
204
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi,

Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji awekeze na apige pesa.
 
Kwa mipango inayoendelea pale, kiusalama hapafai kufanya uwekezaji wo wote na hata wale wanaoishi pale wako ktk hatari kubwa sana kiafya. Kuna gesi pale, kuna mitambo ya umeme mikubwa miwili yenye kuunguruma mchana kutwa. Kuna huo ujenzi wa flyover ya nguvu, kuna mwendo kasi, kuna matanki ya maji na mabomba yake. Upande wa Udsm kuna mto Ng`ombe unapanuka kila siku, upande wa Riverside kuna mto mwingine nao unapanuka kila kukicha. Kuna yale mawaya makubwa ya umeme, haaa.
 
Wakuu salamu na pole na mishughuliko mingi.
Kiukweli ukifika Ubungo kutoka mataa- pandisha kama unaenda kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana Kumpata mwekezaji awekeze na apige pesa.
Fafanua zaidi,
Naweza kuwekeza Stationery au Gereji nikapiga pesa pale??
 
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi,

Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji awekeze na apige pesa.

Mwekezaji wa nini sasa bro mbona kama hujamalizia ulichotaka kuandika
 
Fafanua zaidi,
Naweza kuwekeza Stationery au Gereji nikapiga pesa pale??
Garage utaweka wapi pale,watu wamevunjiwa ikimaanisha eneo lile liko chini ya serikali kwa sasa.
 
pale unawezaje kufanya chochote wakati kuna ujenzi
 
Back
Top Bottom