Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Fafanua zaidi,Wakuu salamu na pole na mishughuliko mingi.
Kiukweli ukifika Ubungo kutoka mataa- pandisha kama unaenda kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana Kumpata mwekezaji awekeze na apige pesa.
Wakuu, salamu na pole na mishughuliko mingi,
Kiukweli ukifika Ubungo kutoka Mataa- pandisha kama unaenda Kimara kipande chote kile mpaka ilipokuwa idara ya maji kifaa sana kumpata mwekezaji awekeze na apige pesa.
Garage utaweka wapi pale,watu wamevunjiwa ikimaanisha eneo lile liko chini ya serikali kwa sasa.Fafanua zaidi,
Naweza kuwekeza Stationery au Gereji nikapiga pesa pale??