Hongera boss .Nime invest 3.5M kwenye kiwanja kigamboni na 1M kwenye shamba vigwaza Chalinze,, sitaki kuinvest kwenye biashara na kilimo kwa sasa ni stress tupu nasubiri mawimbi yatulie kwanza.
Sent using Jamii Forums mobile app
unapata buku 5 sasa utai save vp kwa maisha ya sasaNime wekeza $25 kama ifuatavyo,
* Nimefungua account Google Play store kwa $25
* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,
* Android app naiuza kwa 5000 tu.
FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)
CHANGAMOTO
* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Hongera mkuu, Hivi nawezaje namimi kutengeneza appNime wekeza $25 kama ifuatavyo,
* Nimefungua account Google Play store kwa $25
* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,
* Android app naiuza kwa 5000 tu.
FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)
CHANGAMOTO
* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Hongera sana boss.Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,
* Nimefungua account Google Play store kwa $25
* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,
* Android app naiuza kwa 5000 tu.
FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)
CHANGAMOTO
* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Mkuu bichwa bure ni biashara gani unafanya .?Mimi nilipunguziwa boom langu wakanipa 500K badala ya 700K nikasema sikubali hata wakinipa iyo mwaka huu lizima na mimi niwe Real entrepreneur nasio jina tu nilikuwa na simu yangu nikauza, nikauza kitablet kimoja ambacho niliwapiga wazazi kama njia ya kupata pesa mzee nikajumlisha nikapata kama 700K kamili uwezi amini nikaitoa 40,000/= yakuishi nayo 660,000/= yote nikajilipuwa vibaya mpaka sasaivi biashara yangu inaenda kwa kasi ya kinyonga pesa zinazopatikana inaongezewa bidhaa na siku sinyingi naiongzea then mwezi wa 1 na 2 nione return yake kwasababu mwezi wa 3 pale nataka nijiripuwe tena.
NB: kujilipuwa sikitu rahisi wakuu hata kidogo yaani kuna siku unashinda njaa aisee, siku unaamka huna hata 50 wewe ila siogopi najiripuwa tena mungu akipenda mwaka huu lazima na mimi nipate.
Sent using Jamii Forums mobile app
Uwekezaji unalipa baada ya muda mrefu. January mpaka December ni muda mfupi sana kuanza kuongelea matokeo ya uwekezaji.Wakuu .
Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya .
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa wale ambao waliwekeza kwa mwaka 2018. Je uwekezaji gani ulikulipa vizuri na changamoto zipi ulikutana nazo .?
Lengo la hii thread tupate elimu kwa sisi ambao ndo tunataka kuingia kwenye ujasiriamali na uwekezaji .
Binafsi, nilijaribu kuwekeza kwenye zao la korosho baada ya kujichanga kwenye pesa yangu ya boom nikapata kama 600k hivi ila uwekezaji haukuenda kama nilivyotarajia . Inshort nimekula knockout ila sijakata tamaa 2019 inshaalah nitajaribu tena upande mwingine .
Sent using Jamii Forums mobile app
Yes ni kweli boss .Uwekezaji unalipa baada ya muda mrefu. January mpaka December ni muda mfupi sana kuanza kuongelea matokeo ya uwekezaji.
Asante kwa kumwambia ukweli....Ni mlolongo mrefu mkuu
Bro, just opening an account and upload notes of particural subject??Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,
* Nimefungua account Google Play store kwa $25
* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,
* Android app naiuza kwa 5000 tu.
FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)
CHANGAMOTO
* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Kwa hiho hiyo app huwezi kupakua bila hela?au ndio zile free app?na wenye free app wanapataje faida mkuu?Unafungua Google play store account, unatengenezea android app inayohusu masomo yako baadae unaya publish kupitia account yako ya Google play store hapo utakua umemaliza.