Uwekezaji gani mkubwa umefanya mwaka 2018? Kiasi gani umepata?

jombi95

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2016
Posts
1,408
Reaction score
2,184
Wakuu .
Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya .
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa wale ambao waliwekeza kwa mwaka 2018. Je uwekezaji gani ulikulipa vizuri na changamoto zipi ulikutana nazo .?

Lengo la hii thread tupate elimu kwa sisi ambao ndo tunataka kuingia kwenye ujasiriamali na uwekezaji .

Binafsi, nilijaribu kuwekeza kwenye zao la korosho baada ya kujichanga kwenye pesa yangu ya boom nikapata kama 600k hivi ila uwekezaji haukuenda kama nilivyotarajia . Inshort nimekula knockout ila sijakata tamaa 2019 inshaalah nitajaribu tena upande mwingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,

* Nimefungua account Google Play store kwa $25

* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,

* Android app naiuza kwa 5000 tu.

FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)

CHANGAMOTO

* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
unapata buku 5 sasa utai save vp kwa maisha ya sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,

* Nimefungua account Google Play store kwa $25

* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,

* Android app naiuza kwa 5000 tu.

FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)

CHANGAMOTO

* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Hongera mkuu, Hivi nawezaje namimi kutengeneza app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,

* Nimefungua account Google Play store kwa $25

* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,

* Android app naiuza kwa 5000 tu.

FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)

CHANGAMOTO

* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Hongera sana boss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi nilipunguziwa boom langu wakanipa 500K badala ya 700K nikasema sikubali hata wakinipa iyo mwaka huu lizima na mimi niwe Real entrepreneur nasio jina tu nilikuwa na simu yangu nikauza, nikauza kitablet kimoja ambacho niliwapiga wazazi kama njia ya kupata pesa mzee nikajumlisha nikapata kama 700K kamili uwezi amini nikaitoa 40,000/= yakuishi nayo 660,000/= yote nikajilipuwa vibaya mpaka sasaivi biashara yangu inaenda kwa kasi ya kinyonga pesa zinazopatikana inaongezewa bidhaa na siku sinyingi naiongzea then mwezi wa 1 na 2 nione return yake kwasababu mwezi wa 3 pale nataka nijiripuwe tena.

NB: kujilipuwa sikitu rahisi wakuu hata kidogo yaani kuna siku unashinda njaa aisee, siku unaamka huna hata 50 wewe ila siogopi najiripuwa tena mungu akipenda mwaka huu lazima na mimi nipate.

Mkuu bichwa bure ni biashara gani unafanya .?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu .
Kheri ya Christmas na Mwaka Mpya .
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza kwa wale ambao waliwekeza kwa mwaka 2018. Je uwekezaji gani ulikulipa vizuri na changamoto zipi ulikutana nazo .?

Lengo la hii thread tupate elimu kwa sisi ambao ndo tunataka kuingia kwenye ujasiriamali na uwekezaji .

Binafsi, nilijaribu kuwekeza kwenye zao la korosho baada ya kujichanga kwenye pesa yangu ya boom nikapata kama 600k hivi ila uwekezaji haukuenda kama nilivyotarajia . Inshort nimekula knockout ila sijakata tamaa 2019 inshaalah nitajaribu tena upande mwingine .

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwekezaji unalipa baada ya muda mrefu. January mpaka December ni muda mfupi sana kuanza kuongelea matokeo ya uwekezaji.
 
Yes ni kweli boss .
Labda kichwa cha uzi ndo hakijakaa vizuri ila nilimaanisha uwekezaji ambao unaweza kukulipa within a year let's say mtu kawekeza kwenye mpunga huko after some months akatusua .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,

* Nimefungua account Google Play store kwa $25

* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,

* Android app naiuza kwa 5000 tu.

FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)

CHANGAMOTO

* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
Bro, just opening an account and upload notes of particural subject??

Naomba nielekeze hii mbinu, nina madini ya history na Civics ambayo hata slow learner anaweZa kufanya vyema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafungua Google play store account, unatengenezea android app inayohusu masomo yako baadae unaya publish kupitia account yako ya Google play store hapo utakua umemaliza.
Kwa hiho hiyo app huwezi kupakua bila hela?au ndio zile free app?na wenye free app wanapataje faida mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom