Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,
* Nimefungua account Google Play store kwa $25
* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,
* Android app naiuza kwa 5000 tu.
FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)
CHANGAMOTO
* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.