Uwekezaji gani mkubwa umefanya mwaka 2018? Kiasi gani umepata?

Uwekezaji gani mkubwa umefanya mwaka 2018? Kiasi gani umepata?

Nime wekeza $25 kama ifuatavyo,

* Nimefungua account Google Play store kwa $25

* Nimewekeza ujuzi kwa kutengeneza android app ya A-level yenye notes za Geography 1,

* Android app naiuza kwa 5000 tu.

FAIDA
*Naingiza pesa nikiwa nimelala (silali tena na njaa)

CHANGAMOTO

* Ni utunzaji wa pesa kwani pesa ninayo pata nashindwa Ku I save naishia kuitumia yote.
inaitwaje app yako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom