Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Natafuta wazo la biashara ambalo lina almost Zero management.
Kama mjuavyo biashara au uwekezaji unahitaji management la sivyo hasara utakula mchana.
Katika fikiria fikiri nimeona
BIASHARA YA KUKOPESHA WATUMISHI AU WAFANYAKAZI halafu hela inakatwa moja kwa moja bila kusumbuana marejesho ni uwekezaji mzuri ambao ni kama una zero management.
Nataka nipate mawazo au Idea zingine ambazo zina Zero au management ndogo kiasi kwamba unaweza kuwa unasoma huku unazifanya au uko una fanya kazi huku unaendesha hiyo shughuli
Mawazo yenu wakuu👇🏾