Niwakati wa kua Makini na Mikataba ya uwekezaji ya Kilimo- kulingana na upeo na fikra na ulimbikeni wa viongozi tuliona-tusipokua makini matokeo yatakua ni tofauti na matarajio ya wananchi...
ni bora na ni wakati kwa selikari kutafakari...
Wakulima wadodo wadogo waliopo ndio wapewe kipaumbele- muda si mrefu watakua wakulima wakubwa.
haina maana yeyeote kuleta au kuvutia wawekezaji kwenye kilimo bila kufikiria..