CHASHA FARMING
JF-Expert Member
- Jun 4, 2011
- 7,872
- 9,263
Umofia kwenu,
Katika ufugaji kuna ufugaji wa aina nyingi sana, kuna ufugaji wa kwa ajili ya kuzalisha chakula na kuna ufugaji kwa ajili ya mapambo.
Ufugaji wa mapambo
Huu bi ufugaji wa aina mbalimbali za ndege na wanyama kwa ajili ya mapambo.
Hawa ndege huitwa Ornament Birds au ndege wa mapambo.
Hawa hufugwa kwa minajiri ya kutazwamwa na mara nyingi watu hupenda kuwa nao majumbani mwao hasa kwenye Garden.
Kwa nini ni Furusa kubwa?
Hawa ni furusa kwa sababu watu wengi wana turn au wana Graduate kwenda kwenye Middle class, hawa wanahitaji sana vitu kama hivi viwepo majumbani mwao.
Hawa ndege wa mapamno wana pesa nyingi sana asikuambia mtu aisee make kina ndege unakuta wanauznwa hadi 5 Milion, ndege wa anaye uzwa laki 1+ hao ni wachache unakuta.
SIO LAZIMA KILA MTU AFUGE NDEGE AU WANAYAMA WA KULA, TUFANYE SPECIALIZATION.