Uwekezaji kwenye kufuga Ornamental Birds wakiwemo Tausi

Uwekezaji kwenye kufuga Ornamental Birds wakiwemo Tausi

CHASHA FARMING

JF-Expert Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
7,872
Reaction score
9,263
Umofia kwenu,

Katika ufugaji kuna ufugaji wa aina nyingi sana, kuna ufugaji wa kwa ajili ya kuzalisha chakula na kuna ufugaji kwa ajili ya mapambo.

Ufugaji wa mapambo
Huu bi ufugaji wa aina mbalimbali za ndege na wanyama kwa ajili ya mapambo.

Hawa ndege huitwa Ornament Birds au ndege wa mapambo.

Hawa hufugwa kwa minajiri ya kutazwamwa na mara nyingi watu hupenda kuwa nao majumbani mwao hasa kwenye Garden.

Kwa nini ni Furusa kubwa?
Hawa ni furusa kwa sababu watu wengi wana turn au wana Graduate kwenda kwenye Middle class, hawa wanahitaji sana vitu kama hivi viwepo majumbani mwao.

Hawa ndege wa mapamno wana pesa nyingi sana asikuambia mtu aisee make kina ndege unakuta wanauznwa hadi 5 Milion, ndege wa anaye uzwa laki 1+ hao ni wachache unakuta.

SIO LAZIMA KILA MTU AFUGE NDEGE AU WANAYAMA WA KULA, TUFANYE SPECIALIZATION.

images%20-%202020-05-30T173951.209.jpeg
images%20-%202020-05-30T174135.520.jpeg
images%20-%202020-05-30T173929.706.jpeg
images%20-%202020-05-30T174046.845.jpeg
IMG-20200527-WA0004.jpeg
black-swan.jpeg
 
Jamani hii kitu napenda sana! sijui kwa hapa Tanzania wanaruhusu? Tuifanyie utafiti kujua inawezekana kufuga. Niliwahi kusikia kuwa Tausi ni Nyara za Serikali.
 
Nani kakudanganya? Au ndo mnavyo danganyana kwenye vijiwe vya kahawa?

Tausi anaanza vipi kuwa nyara? Unajua maana ya nyara?

Tausi kuna watu kibao nawajua wanaguga tausi, Moshi mjini kule mitaa ya shanti wako kibao, Arusha kule njiro watu wanao kwa kifupi watu wanao kibao, huwezi waona uswahilini hawa.

Hakuna Poli Tanzania lenye Tausi, Tausi sio asili ya Tanzania,
Tausi ni nyara... hairuhusiwi mtu binafsi kumiliki
 
Ulisikia wapi? Watu kibao wanawafuga mkuu,
Jamani hii kitu napenda sana! sijui kwa hapa Tanzania wanaruhusu? Tuifanyie utafiti kujua inawezekana kufuga. Niliwahi kusikia kuwa Tausi ni Nyara za Serikali.
 
Kuna aina fulani pia ya njiwa wana mvuto sana. Na bei ni ndefu kuanzia 100k kwa pair (male & female)
 
Back
Top Bottom