YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
Gari yenye cc chini ya 1300 mwaka kuanzia 2005 kuja juu,kadi iwe biashara,Stika ya uber 80000,kibali cha jiji na TRA....ukitaka hesabu kwa siku 25000 service juu yako na mkataba ni kwa miaka 2 kwa siku 30000 service kwa dereva na vibali ni kwako!?changamoto bei zao hazieleweki zinapanda na kushuka,trafiki mabao,ajali na utunzaji madereva wengi ni wenge.....
Unataka uwe dereva au mmiliki????Nashukuru Mkuu, hizi process kuanzisha nafatilia wapi?
Unataka uwe dereva au mmiliki????
hii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbuaMmiliki wa chombo changu, dereva ninaye tayari
hii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbua
CC za juu ya hapo na mwaka chini ya hapo hawahitaji au inakuaje mkuu...?Gari yenye cc chini ya 1300 mwaka kuanzia 2005 kuja juu
Kusajili kadi ya biashara inakuwa ni kiasi gani mkuu...?kadi iwe biashara,
Kibali cha jiji pia gharama zikoje na TRA wanatoza vipi mkuu...? Na pia vipi kuhusu plate number ni lazma nyeupe au hata njano zinafaa...?Stika ya uber 80000,kibali cha jiji na TRA
....ukitaka hesabu kwa siku 25000 service juu yako na mkataba ni kwa miaka 2 kwa siku 30000 service kwa dereva na vibali ni kwako!?changamoto bei zao hazieleweki zinapanda na kushuka,trafiki mabao,ajali na utunzaji madereva wengi ni wenge.....
Aliesema lazima iwe 25000 kwa siku nani?
mfumo huo naona dereva ndo anafaidika kuliko mwenye gari
hii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbua
Mambo
Enzi hizo ungejibiwa mamboro mengi duniani.
hii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbua
Mina jamani geuka japo kidogo jmn. Mweeeh...!
Kabisaaaa.
Yani hapo mmiliki unapata robo ya mahesabu na robo tatu anachukua dereva.
Hizo ni staili za upigaji wa waziwazi.
[emoji3][emoji3][emoji3] karibu wazo lako ni muhimu sanaa mkuu
Bora ununue bajaj
Maana wao 140000 kwa wiki