YonDu Udonta
JF-Expert Member
- Aug 6, 2016
- 723
- 569
- Thread starter
- #21
Mie wazo langu ni hilo tu kwanza la kumuomba Bidada Mina japo ageuke kidogo mkuu. Ahsante.
[emoji3][emoji3][emoji3] uwanja wako mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mie wazo langu ni hilo tu kwanza la kumuomba Bidada Mina japo ageuke kidogo mkuu. Ahsante.
[emoji3][emoji3][emoji3] uwanja wako mkuu
Kasajili uber ila hakikisha kadi yako ni ya biashara utatozwa stika ya uber na kibali cha jiji unalipia manispaa cha TRA unalipa TRA yenyeweMmiliki wa chombo changu, dereva ninaye tayari
Mkuu sio wote wengne wamestaarabikahii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbua
T ofauti na hivyo vigezo vyao kupita mpk umkunjie mtu ila kwenye CC kidogo hakuna neno mana kuna madaraja ya chini,kati na juu ya magariCC za juu ya hapo na mwaka chini ya hapo hawahitaji au inakuaje mkuu...?
Kusajili kadi ya biashara inakuwa ni kiasi gani mkuu...?
Kibali cha jiji pia gharama zikoje na TRA wanatoza vipi mkuu...? Na pia vipi kuhusu plate number ni lazma nyeupe au hata njano zinafaa...?
Wao uber wanakata kiasi gani kwa kila trip na je kuna faida gani unapata ukiacha hela utakayoingiza kwa abiria utakaokuwa unapata mkuu...?
Natanguliza shukran zangu kwako kiongozi. Thanks a lot bro.
Uber wanakata asilimia 25 ktk kila kipato na kuhusu kibali cha jiji ni elfu 20 ila ukiingia kichwakichwa unapigwa 80,000 na TRA hivyo hivyo 80000CC za juu ya hapo na mwaka chini ya hapo hawahitaji au inakuaje mkuu...?
Kusajili kadi ya biashara inakuwa ni kiasi gani mkuu...?
Kibali cha jiji pia gharama zikoje na TRA wanatoza vipi mkuu...? Na pia vipi kuhusu plate number ni lazma nyeupe au hata njano zinafaa...?
Wao uber wanakata kiasi gani kwa kila trip na je kuna faida gani unapata ukiacha hela utakayoingiza kwa abiria utakaokuwa unapata mkuu...?
Natanguliza shukran zangu kwako kiongozi. Thanks a lot bro.
Mkuu huo ndo utaratibu wenyewe yn ikizd sana ni 30,000 kwa siku....Aliesema lazima iwe 25000 kwa siku nani?
mfumo huo naona dereva ndo anafaidika kuliko mwenye gari
Ukiona hesabu hailipi mkuu unaingia mkataba na dereva k wa miaka miwili yn 30000 kwa siku zidisha miaka miwili utaona faida yake hapoKabisaaaa.
Yani hapo mmiliki unapata robo ya mahesabu na robo tatu anachukua dereva.
Hizo ni staili za upigaji wa waziwazi.
Bajaji zina risk sana ya kuibiwa tofauti na gari lkn gari hesabu yake kwa wiki ipo juu pia....Bora ununue bajaj
Maana wao 140000 kwa wiki
Hiyo bei ya bajaji unapata Passo mkuu ya Piston 3 yenye CC 950Bajaj sijafikiria sanaa, bajaj moja mpya ina cost 7M, Hii Ni Sawa Na Kuongeza Kidogoo Sanaa Unapata Gari Yenye CC Ndogo Tayar Kwa Kuipeleka Uber
Mkuu upo sahihi 100%Uber uendeshe tu mwenyewe ndio pesa utaiona au umpate mtu anaejielewa na Mwenye familia muandikishuane mkataba awe anakuletea hesabu tu kwa muda and then inakua yake.
Magari kama Alphad wanakubali UBER?Uber wanakata asilimia 25 ktk kila kipato na kuhusu kibali cha jiji ni elfu 20 ila ukiingia kichwakichwa unapigwa 80,000 na TRA hivyo hivyo 80000
Kasajili uber ila hakikisha kadi yako ni ya biashara utatozwa stika ya uber na kibali cha jiji unalipia manispaa cha TRA unalipa TRA yenyewe
Hiyo bei ya bajaji unapata Passo mkuu ya Piston 3 yenye CC 950
Ok mkuu ila usisahau kuambatanisha na bima yako ya gari ipige hata picha ktk cm nenda nayo pale uber...utalipia stika yao 80,000 hivyo vibali vingne utavikata hata baadae kwn uber hawahusiki navyo huku gari likiwa linafanya kazi barabaraniAsante
Mm ni dereva nahitaji mtu mwenye kuhitaji dereva nipo tayari,kwa mkataba au kwa hesabu tuu kawaida
😂 😂 😂 😂 😂 😂Enzi hizo ungejibiwa mamboro mengi duniani.
Mkuu mkataba ni 30,000 kwa siku na inakua miaka 2 kwaio ni 30,000×730(miaka miwili)=21,900,000 totalUkipewa mkataba kwa IST utarudisha Pesa Ya Watu kwa miaka mingapi?