Uwekezaji Kwenye Uber!

Uwekezaji Kwenye Uber!

[emoji3][emoji3][emoji3] uwanja wako mkuu

Ahsante sana mkuu kwa heshima na taadhima tunakuomba mkuu Mina cute utekeleze ombi letu tafadhali.

Na tunakuomba radhi kwa usumbufu utakaojitokeza wa kutekeleza ombi hilo. Tunatanguliza shukran zetu za dhati kabisa kwako mkuu. Ahsante sana.
 
Uber uendeshe tu mwenyewe ndio pesa utaiona au umpate mtu anaejielewa na Mwenye familia muandikishuane mkataba awe anakuletea hesabu tu kwa muda and then inakua yake.
 
CC za juu ya hapo na mwaka chini ya hapo hawahitaji au inakuaje mkuu...?

Kusajili kadi ya biashara inakuwa ni kiasi gani mkuu...?

Kibali cha jiji pia gharama zikoje na TRA wanatoza vipi mkuu...? Na pia vipi kuhusu plate number ni lazma nyeupe au hata njano zinafaa...?

Wao uber wanakata kiasi gani kwa kila trip na je kuna faida gani unapata ukiacha hela utakayoingiza kwa abiria utakaokuwa unapata mkuu...?

Natanguliza shukran zangu kwako kiongozi. Thanks a lot bro.
T ofauti na hivyo vigezo vyao kupita mpk umkunjie mtu ila kwenye CC kidogo hakuna neno mana kuna madaraja ya chini,kati na juu ya magari
 
CC za juu ya hapo na mwaka chini ya hapo hawahitaji au inakuaje mkuu...?

Kusajili kadi ya biashara inakuwa ni kiasi gani mkuu...?

Kibali cha jiji pia gharama zikoje na TRA wanatoza vipi mkuu...? Na pia vipi kuhusu plate number ni lazma nyeupe au hata njano zinafaa...?

Wao uber wanakata kiasi gani kwa kila trip na je kuna faida gani unapata ukiacha hela utakayoingiza kwa abiria utakaokuwa unapata mkuu...?

Natanguliza shukran zangu kwako kiongozi. Thanks a lot bro.
Uber wanakata asilimia 25 ktk kila kipato na kuhusu kibali cha jiji ni elfu 20 ila ukiingia kichwakichwa unapigwa 80,000 na TRA hivyo hivyo 80000
 
Kabisaaaa.
Yani hapo mmiliki unapata robo ya mahesabu na robo tatu anachukua dereva.

Hizo ni staili za upigaji wa waziwazi.
Ukiona hesabu hailipi mkuu unaingia mkataba na dereva k wa miaka miwili yn 30000 kwa siku zidisha miaka miwili utaona faida yake hapo
 
Uber uendeshe tu mwenyewe ndio pesa utaiona au umpate mtu anaejielewa na Mwenye familia muandikishuane mkataba awe anakuletea hesabu tu kwa muda and then inakua yake.
Mkuu upo sahihi 100%
 
Uber wanakata asilimia 25 ktk kila kipato na kuhusu kibali cha jiji ni elfu 20 ila ukiingia kichwakichwa unapigwa 80,000 na TRA hivyo hivyo 80000
Magari kama Alphad wanakubali UBER?
 
Hiyo bei ya bajaji unapata Passo mkuu ya Piston 3 yenye CC 950

Mkuu kuna ndugu yangu mmoja kanikatalia katakata kuekeza kwenye bajaji kanambia hiyo pesa kama sina cha kufanya bora nikaeke fixed acc au ninunue boda boda 3 hivii nizitie mikataba miezi 10 pesa itakua imejilipa na vichenji kidogo
 
Ok mkuu ila usisahau kuambatanisha na bima yako ya gari ipige hata picha ktk cm nenda nayo pale uber...utalipia stika yao 80,000 hivyo vibali vingne utavikata hata baadae kwn uber hawahusiki navyo huku gari likiwa linafanya kazi barabarani
 
Back
Top Bottom