Mkuu mkataba ni 30,000 kwa siku na inakua miaka 2 kwaio ni 30,000×730(miaka miwili)=21,900,000 total
hii biashara bora uendeshe mwenyewe km huna kazi, madereva wanasumbua
Aliesema lazima iwe 25000 kwa siku nani?
mfumo huo naona dereva ndo anafaidika kuliko mwenye gari
Magari kama Alphad wanakubali UBER?
Kwanini ? Alphard hazina biashara?Hata wakikubal utalipak mwenyewe mkuu.....
Kwa hali ya sasa hyo hela n ngumu kutokana mfumo mpya wa uber now unawalipa wao ....mfano mm kutokana na ufanyaj kaz wang n trip 7 had kumi kwa siku dail..bas ujue kwa wiki ujiandae kuwalipa zaid ya elfu 20 .....mfumo mpya huo wa uber umeanza tarehr 16 mwezi huu....Asanten kwa kunielewa
Uber sio kwa ajili ya biashara wabongo mnafeli.
Mbona watu hawaeleweki kuna wengine wanasema uber inalipa na wengine wanasema siku hizi inazingua hata kama ukiendesha mwenyewe
Sasa na ile pesa waliyokuwa wakiwaingizia madereva kwenye akaunti zao vipi?
Mkuu na unataka kusema sasa hivii uber hailipi?
Kwanini ? Alphard hazina biashara?
Ohh asante kwa taarifaZinazo bt cyo kwa uber utapata hasara ya mafuta daily....utawaona uber wabaya bure....
Uber haikuanzishwa kwaajiri ya biashara kama tunavyofanya wabongo, hii ni kwaajiri ya watu binafsi kutumia magari yao kutoa lifti kwa wakazi wa jiji husika na kujipatia tip kwa kazi hiyo.Ehhh!!! Kwa ajili ya nini sasa?
Nakubliana na wewe mkuu, hapo kwenye kodi na vbali vingi serikali yetu inaumiza, kwa hapa kenya UBER inafanya vizuri mtu anaacha kazi na anajikmu kabisa ila sio kwetu Tanzania.Uber haikuanzishwa kwaajiri ya biashara kama tunavyofanya wabongo, hii ni kwaajiri ya watu binafsi kutumia magari yao kutoa lifti kwa wakazi wa jiji husika na kujipatia tip kwa kazi hiyo.
Sasa hizi fujo za sijui Sumatra, tra, sijui nini ni upuuzi wa watanzania kuharibu jambo ambalo lingekuwa msaada sana kwa raia kujiongezea kipato nyakati hizi za ugumu wa maisha
Uber haikuanzishwa kwaajiri ya biashara kama tunavyofanya wabongo, hii ni kwaajiri ya watu binafsi kutumia magari yao kutoa lifti kwa wakazi wa jiji husika na kujipatia tip kwa kazi hiyo.
Sasa hizi fujo za sijui Sumatra, tra, sijui nini ni upuuzi wa watanzania kuharibu jambo ambalo lingekuwa msaada sana kwa raia kujiongezea kipato nyakati hizi za ugumu wa maisha