Uwekezaji:madaktari na mashine za vipimo mikoani

Uwekezaji:madaktari na mashine za vipimo mikoani

mama dunia

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2011
Posts
420
Reaction score
84
Hi jfs..

Mi nina ushauri kidogo kwa wajasiriamali madaktari.

Hapa tz mikoa mingi haina mashine za vipimo tofauti tofauti.
So jiungeni mchange au mchukue mkopo mnunue mashine then muwe mnatoa huduma kwa fee fulan yenye faida.
Mfano mdogo ni tanga hawana ct scan na wagonjwa wanaenda hosp zingine dar.moshi etc-najua ni expensive lakini mnaweza kujipanga na mkafanikisha..mwanza bugando eeg mbovu hio ni mifano midogo tu.

Wabeja
 
siyo madakari tu, hata weweni fursa hiyo changamkia!
 
Back
Top Bottom