Mundele Makusu1
JF-Expert Member
- Sep 28, 2021
- 2,629
- 3,728
Mimi nafahamuWakuu habari za majukumu
Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe
Asante
Naomba uelewa zaidi juu ya hili Somo mkuuMimi nafahamu
Download app yao kwanzaNaomba uelewa zaidi juu ya hili Somo mkuu
Lakin pia unaweza nunua makampuni ya hisa ya africa mashariki kwene dse kama IEAC-ETFNaomba uelewa zaidi juu ya hili Somo mkuu
Alafu baada ya Hapo ,ungeweka maelezo kamili mkuu kwa manufaa ya wengine piaDownload app yao kwanza
Kuna jinsi ya kujiunga kama foreigner na national citizenAlafu baada ya Hapo ,ungeweka maelezo kamili mkuu kwa manufaa ya wengine pia
Wakuu habari za majukumu
Kwa Yoyote mwenye Ufahamu au uelewa zaidi juu ya namna ya kuwekeza katika soko la HISA Kenya anisaidie ushauri na mawazo.Pia kama kuna soko zuri zaidi la Kenya kwenye HISA naomba nisaidiwe
Asante
Asante Sana mkuu, Msaada wako ni Njia kwa wengine pia
- Chagua broker aliyeidhinishwa nchini Kenya (mfano investment bank au stockbroker anayeshughulikia wawekezaji wa kimataifa).
- Fungua CDS Account (Central Depository System account). Hii ndiyo akaunti ya kuhifadhi hisa zako kielektroniki. Utahitaji pasipoti, picha, na nyaraka za utambulisho.
- Jaza fomu za KYC (Know Your Customer) na uthibitishe anuani yako.
- Tuma fedha kwenye akaunti ya broker kupitia benki ya Tanzania au njia nyingine zinazokubaliwa na broker.
- Weka oda ya kununua hisa kama za:
PamojaAsante Sana mkuu, Msaada wako ni Njia kwa wengine pia
Swali la nyongeza hakuna namna kwa muwekezaji WA kimataifa kuweza kununua HISA moja kwa moja kama ilivyosoko la DSE kwa hapa Tanzania...Nimefikiri hivi kwasababu naona Kenya na Tanzania ni kama ndugu WA Afrika MasharikiPamoja