Nasikia Wachina wanakula sana vitu vya ajabu kama popo na nyoka. Matokeo yake dunia nzima imepagawa na corona! Sasa hizi tafiti kuhusu urembo unaoletwa na sumu ya nyoka, nazo ni za kuziangalia kwa tahadhari kidogoNyama ya nyoka husaidia kuifanya ngozi yako nyororo na laini
Jr[emoji769]
Nasikia Wachina wanakula sana vitu vya ajabu kama popo na nyoka. Matokeo yake dunia nzima imepagawa na corona! Sasa hizi tafiti kuhusu urembo unaoletwa na sumu ya nyoka, nazo ni za kuziangalia kwa tahadhari. kidogo
Dah! Haya bana😂😂😂90% ya nyama ya nyoka haina shida.. Na mwonekano wake hauna tofauti na nyama ya samaki hasa kwenye mchemsho
Jr[emoji769]
Bwwwwoooooh, unanitapisha mkuu!90% ya nyama ya nyoka haina shida.. Na mwonekano wake hauna tofauti na nyama ya samaki hasa kwenye mchemsho
Jr[emoji769]
Bwwwwoooooh, unanitapisha mkuu!