Uwekezaji Tanzania: Mkutano wa Rais Suluhu na Dangote

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Kukutana kwa Rais Suluhu na mmoja wa wafanyabiashara wakubwa Afrika, Aliko Dangote kumeonesha kuwa Tanzania inaendelea kuwa eneo lenye mvuto wa uwekezaji.

Hii hutuma ujumbe chanya kwa wawekezaji wengine wa ndani na nje kuwa Serikali ipo tayari kushirikiana na sekta binafsi.
 
Hii lini mkuu? Refinery is ON?
 
Hizi ni propaganda.....
 
Sawa ila muache tabia ya kuwatelekeza watu wenu mnaowatoa wilayani kwao ili waje kuwajazia uwanja mkifanya mikutano yenu, kama mlivyofanya Jana huku Tarime! #CCMhaikubaliki
 
Kwahiyo kuitwa na kuja kutongozwa ili awekeze kule Tanga wakati alishakataa mnaona ndio mmefanikiwa? Huyo Ana akili sana akija kuwekeza Tanga mniue nimekaa pale kule mtwara kwenye cement anajuta kuwafahamu ije Kuwa mafuta?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…