Siwezi kuufuta mzee wangu kwa kuogopa hawa watu, nina watu mm...hii Simba mnayoiona tumeipigania Sana, hatuwezi kukubali iangukie mikononi mwa mabanyenye kirahisi namna hiyo....narudia nina watu....Huu uzi wako ni vyema ukaufuta! Maana mashabiki wa hiyo timu huwa hawapendi umseme Moo wao au yule mvuta bangi ya Kimbiji, Haji Manara!
Ikiwa mzee kilomon aliyekua Captain wa Timu Tena akitoka mazoezini alikua akienda kubeba matofali kuisaidia mafundi kujenga jengo la Klabu pale msimbazi kavuliwa uanachama na kufukuzwa wewe ninani wa kuhoji mipango ya MO!!Siwezi kuufuta mzee wangu kwa kuogopa hawa watu, nina watu mm...hii Simba mnayoiona tumeipigania Sana, hatuwezi kukubali iangukie mikononi mwa mabanyenye kirahisi namna hiyo....narudia nina watu....
Heshima kwenu wakuu.
Moja kwa moja niingine kwenye maada husika, kumekua na mkanganyiko Kati ya uwekezaji uliofanya na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa jangwani.
Sie wa buhigwe kitu kinachotukanganya ni je? Inamaana Mo ataimiliki simba maisha kwa hiyo 21B? Na yanga amejidhaminisha 41B kwa miaka 10 tu?
Sasa kama ni hivo mbona kama Simba tumepigwa?
Tafadhali wajuzi wa Mambo tuelimisheni hicho kitu.