Jr king
Member
- Nov 4, 2019
- 50
- 55
Heshima kwenu wakuu.
Moja kwa moja niingine kwenye maada husika, kumekua na mkanganyiko Kati ya uwekezaji uliofanya na Mo pale Simba na udhamini uliofanywa na Azam kwa wanandinga wa jangwani.
Sie wa buhigwe kitu kinachotukanganya ni je? Inamaana Mo ataimiliki simba maisha kwa hiyo 21B? Na yanga amejidhaminisha 41B kwa miaka 10 tu?
Sasa kama ni hivo mbona kama Simba tumepigwa?
Tafadhali wajuzi wa Mambo tuelimisheni hicho kitu.