Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 3,078
- 5,882
Mbona Dr Patrice Motsepe mmiliki wa Mamelod Sundowns ni mweusi na haoni shida kuweka mpunga?Hapo vip!!
Huu ndio ukweli kama unataka mafanikio kwenye uwekezaji wa mpira na jambo lolote.
Wahindi biashara zao ni viwanda vya pilipili,tomatoes,mikate,pipi na biscuit..mpira hapa nyota zao haziruhusu kwasababu wanaroho za kimaskini,uwekezaji wa mpira ni mzungu,mwafrika mweupe mweupe na muarabu hapo pesa zitatolewa haswa
NB.Muafrika asiwe na rangi nyeusi.
soma tena uzi wa jamaa,muafrica ila mweupeMbona Dr Patrice Motsepe mmiliki wa Mamelod Sundowns ni mweusi na haoni shida kuweka mpunga?
Anafanya hivyo kwasababu ni rais wa CAF ili atumie nafasi yake kuifanikisha ile timu,pia awadanga waafrika kuwa ni mtu sahihi kwenye hiyo nafasi..vingenevyo hamna kituMbona Dr Patrice Motsepe mmiliki wa Mamelod Sundowns ni mweusi na haoni shida kuweka mpunga?
Ulishawahi kununua japo maji ya kunywa ya mazoezi kwa timu japo ya mtaani kwako??Hapo vip!!
Huu ndio ukweli kama unataka mafanikio kwenye uwekezaji wa mpira na jambo lolote.
Wahindi biashara zao ni viwanda vya pilipili, tomatoes, mikate, pipi na biscuit..mpira hapa nyota zao haziruhusu kwasababu wanaroho za kimaskini, uwekezaji wa mpira ni mzungu, mwafrika mweupe mweupe na muarabu hapa pesa zitatolewa haswa
NB.Muafrika asiwe na rangi nyeusi.
Muafrika bhana..hii nini umeandika sasa?tofautisha uwekezaji na kujitoleaUlishawahi kununua japo maji ya kunywa ya mazoezi kwa timu japo ya mtaani kwako??
Vipi moise katumbisoma tena uzi wa jamaa,muafrica ila mweupe
Kweli kabisa ati.Hapo vip!!
Huu ndio ukweli kama unataka mafanikio kwenye uwekezaji wa mpira na jambo lolote.
Wahindi biashara zao ni viwanda vya pilipili, tomatoes, mikate, pipi na biscuit..mpira hapa nyota zao haziruhusu kwasababu wanaroho za kimaskini, uwekezaji wa mpira ni mzungu, mwafrika mweupe mweupe na muarabu hapa pesa zitatolewa haswa
NB.Muafrika asiwe na rangi nyeusi.
Vipi moise katumbi