Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Ovyo sana ww. Hujui hata kusoma ndio uje kunifundisha kusoma nilichokiandika?

Herd thinking ndi El pluribus Unum hutaki

So what? na herd thinking zetu Nn kinakukera ww?
Unahangaika na nyumbu hio ndio akili kweli? Wewe umeelewa nini na hujaijibu hoja?

Ww umeweka nini cha maana hapa ?
Wewe luggage hujui kitu,huna facts ,huna hoja na mgonjwa wa akili.

Pointi zako ni matusi hapo Kwa nini usiwahi mirembe?
 
Wewe umeanza kuwa K,kama hujui Mikoa iliyoathirika basi ingia TanRoads angalia Mikoa mingapi inajengwa madaraja ya dharura ,over 800bln zinatumika .
Mzee ukiona mtu anaanza kutukana ujue tayar kichwa kimeishiwa😂😂😂😂😂😂.
Nimekuorodheshea mikoa na maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko mwaka jana.Pinga kwa hoja acha mbwembwe.Kiufupi kama factors zote zingeREMAIN c basi hata top 3 mngeichungulia kwa macho.Thanks kwa wakulima wa jembe la mkono ambao backborne yetu
 
Huna point,kulingana na AGGRA uzalishaji wa Tanzania uliathirika kwa 6% wakati Nigeria iliathirwa kwa 80%(takwimu za FAO).Wew unahisi bado tunaishi zama za giza ama?Hapa mzee sio sehem ya kuspin the truth😂
Basi wafikishie ujumbe hao AGGRA kwamba tumewapita Nigeria Ili wewe na AGGRA mje na visingizio vingine,hiyo ya ukame haitoshi.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mzee ukiona mtu anaanza kutukana ujue tayar kichwa kimeishiwa😂😂😂😂😂😂.
Nimekuorodheshea mikoa na maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko mwaka jana.Pinga kwa hoja acha mbwembwe.Kiufupi kama factors zote zingeREMAIN c basi hata top 3 mngeichungulia kwa macho.Thanks kwa wakulima wa jembe la mkono ambao backborne yetu
Kupata picha kamili nimekupa source.Mbeya iliyokumbwa na maporomoko ya udongo ,mafuriko kule Kyela na Mbarali wanakozalisha mpunga unasema haijaathirika?

Mvua zikizidi unaweza pata mahindi hata nusu ya harvest per acre? Unaongea nini wewe?
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
  • Nzuri
Reactions: Tui
Mzee ukiona mtu anaanza kutukana ujue tayar kichwa kimeishiwa😂😂😂😂😂😂.
Nimekuorodheshea mikoa na maeneo yaliyoathiriwa na mafuriko mwaka jana.Pinga kwa hoja acha mbwembwe.Kiufupi kama factors zote zingeREMAIN c basi hata top 3 mngeichungulia kwa macho.Thanks kwa wakulima wa jembe la mkono ambao backborne yetu
Mwenzako ndipo anapopatia hela zake tapatalk.com huko. Per view

Hayo matusi anayotoa, ni ya kukutia hasira tu, na ukihemeka hiyo ni view nyingine, uzi unaonekana kama una substance kumbe ni utumbo mtupu.

Unaona hizo linki zake anaweka?link zake(usifungue hata moja) hizo link zina scripts zinazokusanya taarifa zako na kutoa taarifa tapatalk.com ili apate hela zake.
 
Unautweza mwili wako kubeba Hilo fuvu 😁😁
 
1120ulimwengu si unaona? Kila unapomjibu, anaweka link anazoziita Fact lol
Na link zake hazina uhusiano wowote ule na mada aliyoileta. Vyanzo vyake ni vya kutiliwa mashaka.

USIFUNGUE LINK.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
kumbe wew c mtu unayejikita kwenye details.Nilikuwa nahisi nazungumza na sane man kumbe vinginevyo.Hv unaweza kuniambia bajeti ya kilimo mwaka 2023/24 ni sh ngapi na msimu 2024/2025 ni ngapi ili tuone ongezeko ni sh ngapi?
Overall budget ni 1.3T.Hiyo Bajeti imeongezeka kutoka around 300lbn kabla ya Samia to that figures.

Sasa wewe Kwa akili zako hizo kwamba ukiongeza Bajeti msimu mmja then automatically inaleta majibu mwaka huo huo au unaofuata?

Unaelewa maana ya kilimo.kuwa long term and successive investment?

Wapi nilisema ongezeko la mwaka mmja wa Bajeti ndio limeleta matokeo instantly?

Naendelea kusisitiza kwamba Nigeria imepitwa na hakuna excuses zitakazokusaidia ni nyie washabiki wa Nigeria kuongeza uzalishaji basi.

Mwisho hao Nigeria Yako ni failed state na hapa tumewala kichwa Samianomics: Tanzania Yaipita Nigeria na Kuwa Mshirika namba 2 wa Biashara wa India Barani Afrika.Afrika Kusini Waanze kutia maji.
 
mmh mmh mbona mbio mbio mzee😂😂😂.Umesema budget ya 2024/25 ni almost 1.3T.Sasa niambie ya msimu wa 2023/2024.Kisha uniambie ongezeko ni ngapi?
Ukisema ongezeko la miaka minne/mitano ndilo limeleta mafanikio hayo ya ninyi kutoboa mpaka nafasi ya pili,nitakuuliza kwahyo miaka takribani mitano mlikuwa mnashika nafasi ya ngapi?
Yaan gradual improvement iwe kwenye budget halaf kwenye uzalishaji mnastick kwenye namba ileile kwa takriban 3/4 years halaf mpate leap ya kupanda hatua mbili au tatu kwa msimu mmoja?Unazungumza nini!
Wew sema weather ilikuwa upande wenu mkapa a small increment kwenye uzalishaji though Government support to farmers ilikuwepo kidogo ila hyo haitoshi kusema ndio imewafikisha hapo namba 2

Una akili ndogo sana ,Toka 2021 Bajeti ya Kilimo imekuwa inaongezeka Hadi kufikia hapo ilipo.

Sikuelewi tunachotaka wewe ni nini? Haya tufanye Iko hivyo unavyotaka,ndio imezuia Nigeria kupitwa?

Wewe una akili finyu sana,miaka yote hakujuwa na weather? Umeambiwa hapo matumizi ya mbolea yametoka tani chini ya 300k 2021 na kufikia zaidi ya tani 800k Bado unaongea ujinga.
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Imeongeza ajira kiasi gani?
Imepunguza ukosefu wa ajira kiasi gani?
Imeongeza GDP per capita kiasi gani?
Imepunguza deni la nchi kwa kiasi gani?
Imepunguza kiwango cha umaskini kwa kiasi gani?
Imepunguza mfumuko wa bei kwa kiasi gani?
Swali muhimu sana
 
Back
Top Bottom