Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Nyumbu Mkuu huwezi shinana na Mimi huna hoja Wala facts nitazidi kukuaibisha na utaishia kutukana hovyo kama mwehu.
Anayetukana ni nani, una facts za data za kupika. Unaniabisha kwa kipi๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚. Unakwama wapi๐ŸŒˆ?
 
Ndio lengo la Serikali Kupitia ajenga 1030.

Mipango iliyopo ni Mingi na ya maana sana ,kama itatekelezwa basi hakuna wa kutusogelea hapa Africa.
Upo sahihi kiongozi, kwa kasi hii naiona dira ya 2050 kwa sekta ya kilimo ikitimia ndani ya miaka mitano ya Mh. Samia inayokuja.
Ni jambo la kipekee kutoa ruzuku ya mbolea ya Tsh. 136,495,898,332. Kwa mwana siasa angeipeleka kwenye ujenzi ungeonekana haraka. Nipongeze Serikali kwa dhamira yake ya dhati kukomboa wakulima.
 
Sera hizi ziwe endelevu hata baada ya 2030. Tafadhali watanzania asije Rais mwingine akajidai kupangua hizi sera na kuleta za kwake ili ajimwambafai. Ndugu zangu huu ni muelekeo sahihi na unaleta matokeo chanya.
 
Twala matunda ya Awamu ya Tano ama nadanganya CHADEMA wenzangu?

Vita vikimalizwa na Trump Yukraina, tutarudi nafasi yetu ya kawaida.
 
Utalisha Afrika kwa data za kupika?
Leta zako za kuchemsha.Pamoja na ujinga wako yaani ipikwe data na tani zinazozalishwa bila ushahidi wowote? Yaani ukurupuke na useme upo namba 2 Afrika kwa uzalishaji wa mahindi Afrika bila ushahidi wa ku back up takwimu unazotoa? Unataka tuamini ni rahisi hivyo?Yaani Nchi yeyote inaweza tu kupika data na zikakubaliwa?
Shirikisha ubongo unapoandika upuuzi wako ili utakachoandika kilete mantiki.
Upinzani sio kujitoa fahamu.
 
Twala matunda ya Awamu ya Tano ama nadanganya CHADEMA wenzangu?

Vita vikimalizwa na Trump Yukraina, tutarudi nafasi yetu ya kawaida.
Ujinga haujawahi kumuacha mtu huru.Vita ikiisha Ukraine itahamia Bara la Afrika?
Umesoma hata kilichoandikwa au umerukia tu kama nyumbu anayefuata mkumbo.Herd thinking?
 
Acha jazba, data za kupika zisikufanye uwe na jazba kali kiasi hicho.
 
1980s Rodrick Mahenge alikuwa analima Mahindi ya kulisha Africa nzima Nyerere akamjengea Kihenge NMC pale karibu na kwa akina Pindi Chana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kitambo sana ๐Ÿผ
 
Acha jazba, data za kupika zisikufanye uwe na jazba kali kiasi hicho.
Huna hoja.Data za kupika? Ungeleta zako za ukweli. Takwimu hupingwa kwa takwimu.
Unapopinga jambo leta ushahidi kwamba hilo unalopinga sio kweli.Bila kufanya hivyo unadhihirisha ujinga wako tu na chuki zinazotawala uwezo wako mdogo wa kufikiri.
 
1980s Rodrick Mahenge alikuwa analima Mahindi ya kulisha Africa nzima Nyerere akamjengea Kihenge NMC pale karibu na kwa akina Pindi Chana ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kitambo sana ๐Ÿผ
๐Ÿšฎ๐Ÿšฎ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ