Narudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.Huna hoja.Data za kupika? Ungeleta zako za ukweli. Takwimu hupingwa kwa takwimu.
Unapopinga jambo leta ushahidi kwamba hilo unalopinga sio kweli.Bila kufanya hivyo unadhihirisha ujinga wako tu na chuki zinazotawala uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Long time na ile Timu ya National Milling ikaitwa Mahenge FC baadae Mazao 😂😂😂
We nyumbu,TMX inaleta mapinduzi hakuna tena madalaliNarudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.
Huyo choko ameumia sana 🤣🤣Huna hoja.Data za kupika? Ungeleta zako za ukweli. Takwimu hupingwa kwa takwimu.
Unapopinga jambo leta ushahidi kwamba hilo unalopinga sio kweli.Bila kufanya hivyo unadhihirisha ujinga wako tu na chuki zinazotawala uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Kwa mara ya kwanza Toka kuimbwa Kwa Tanzania Singida wamepika Mauzo ya korosho 😁😁Narudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.
Achana na maswala ya dini basi,tujikite tu kwenye swala la maendeleo ya kilimoWakija wale Marais wenu wa makanisa ya Wazungu wanakuwaga watu wa hovyo so most likely watavuruga Kila kitu 👇👇
View: https://x.com/swahilitimes/status/1887545061115875620?t=LLSxC7XYV1MIpN0KcGqy0g&s=19
Unadhani hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu haziathiri tabia na hulka ya mtu?Achana na maswala ya dini basi,tujikite tu kwenye swala la maendeleo ya kilimo
Wewe ni mpuuzi tu.Huna hoja.Utakufa wewe kwa kupinga kisichopingika.Nawaonea huruma kizazi chako.Narudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.
Yaani nife kwa kupinga wapika data na majizi😂😂Wewe ni mpuuzi tu.Huna hoja.Utakufa wewe kwa kupinga kisichopingika.Nawaonea huruma kizazi chako.
Ukiona mtu yuko bitter na maisha ni dalili ya kufeli kwenye maisha. Unabakia kuwa na chuki na wivu tu.Huna cha maana unachoweza kuongeza kwenye maisha yako bali kuwa hasidi na roho mbaya.Utabakia kusema watu huku ukiwa na msoto wa nguvu.Yaani nife kwa kupinga wapika data na majizi😂😂
Vision ni kuwa Ukraine wa Afrika,Ili kufika huko lazima kuwakalisha kina Nigeria na South Africa kwanza.Kama vision yetu inatamka kuipiku nigeria ktk uzalishaji wa mahindi basi tunasababu ya kujipongeza.Lakini kama vision yetu ni kuwa nchi inayoongoza uzalishaji wa mahindi afrika kelelehizi za nini?
Nimecheka kwa nguvu, niko hapa Dar muda mrefu kidogo, nina asset za kuniwezesha kukulipa mshahara ww na mke/mumeo hata kama wote mna PhD. Yaani mnaoweza kula msoto ni nyie mliokuja hapa mjini ukubwani kusaka maisha. Mimi sio muumini wa majizi na wapika data. Kama ww ni muumini wao, hiyo ni kimpango wako.Ukiona mtu yuko bitter na maisha ni dalili ya kufeli kwenye maisha. Unabakia kuwa na chuki na wivu tu.Huna cha maana unachoweza kuongeza kwenye maisha yako bali kuwa hasidi na roho mbaya.Utabakia kusema watu huku ukiwa na msoto wa nguvu.
Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United.
Kwa nini usife wakati umejaa chuki? 😁😁Yaani nife kwa kupinga wapika data na majizi😂😂
Ni hivi, mimi na majizi na wapika data ni vitu viwili tofauti. Hutaki jinyonge 🌈Kwa nini usife wakati umejaa chuki? 😁😁
Saizi hatupiki data tena tunachemsha zikiwa raw Ili mle vizuri 🤣🤣👇👇
View: https://youtu.be/X7HVbrUfLts?feature=shared
Watu wa Dar mara nyingi Wana akili Zenye stress sana yaani ni Afya yenu ya akili sio sawa Kwa sababu ya shida mnazopitia hapo Mjini kuanzia kula vitu substandard Hadi hewa mbovu.Nimecheka kwa nguvu, niko hapa Dar muda mrefu kidogo, nina asset za kuniwezesha kukulipa mshahara ww na mke/mumeo hata kama wote mna PhD. Yaani mnaoweza kula msoto ni nyie mliokuja hapa mjini ukubwani kusaka maisha. Mimi sio muumini wa majizi na wapika data. Kama ww ni muumini wao, hiyo ni kimpango wako.
Wewe ndio utajinyonga sisi tutakuchemshia data utake au usitake,utukane au usitukane utaoewa tuuNi hivi, mimi na majizi na wapika data ni vitu viwili tofauti. Hutaki jinyonge 🌈
Yaani nipanick kwa data ambazo hata sina muda wa kuzisoma!😂Watu wa Dar mara nyingi Wana akili Zenye stress sana yaani ni Afya yenu ya akili sio sawa Kwa sababu ya shida mnazopitia hapo Mjini kuanzia kula vitu substandard Hadi hewa mbovu.
Ndio maana una panic hovyo Kwa data tunazokuwekea kutokea huku shamba tunakovuta fresh air 🤣🤣
Ungekuwa huna mda wa kuzisoma ungekuja kumwaga povu humu? 🤪🤪Yaani nipanick kwa data ambazo hata sina muda wa kuzisoma!😂
🌈 Niko humu jf zaidi ya 10yrs, nikiona chawa analeta taarifa zake humu wala sina muda wa kuzisoma maana najua ni za kupika. Naangalia maisha ya hao wakulima unaoleta data zao nawaona wachovu tu, sasa data za nini?Ungekuwa huna mda wa kuzisoma ungekuja kumwaga povu humu? 🤪🤪
Relax kwanza bwana nyumbu ,