Uwekezaji wa Serikali ya Rais kwenye Sekta ya Kilimo wazaa matunda. Tanzania yaipiku Nigeria na kuwa Mzalishaji namba 2 wa Mahindi Afrika

Huna hoja.Data za kupika? Ungeleta zako za ukweli. Takwimu hupingwa kwa takwimu.
Unapopinga jambo leta ushahidi kwamba hilo unalopinga sio kweli.Bila kufanya hivyo unadhihirisha ujinga wako tu na chuki zinazotawala uwezo wako mdogo wa kufikiri.
Narudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.
 
Huyo choko ameumia sana 🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
  • Nzuri
Reactions: Tui
Achana na maswala ya dini basi,tujikite tu kwenye swala la maendeleo ya kilimo
Unadhani hizo dini zenu za Wazungu na Waarabu haziathiri tabia na hulka ya mtu?

Nyerere
Mkapa
Magufuli

Vs
Mwinyi
JK
Samia

Wewe unaona ni awamu zipi watu Huwa wananufaika kimaisha na zipi wanaharibikiwa?
 
Kama vision yetu inatamka kuipiku nigeria ktk uzalishaji wa mahindi basi tunasababu ya kujipongeza.Lakini kama vision yetu ni kuwa nchi inayoongoza uzalishaji wa mahindi afrika kelelehizi za nini?
 
Narudia tena, data za kupika zisikufanye utoke mishipa ya shingo, utafia hapa jf usipoangalia.
Wewe ni mpuuzi tu.Huna hoja.Utakufa wewe kwa kupinga kisichopingika.Nawaonea huruma kizazi chako.
 
Yaani nife kwa kupinga wapika data na majizi😂😂
 
Ukiona mtu yuko bitter na maisha ni dalili ya kufeli kwenye maisha. Unabakia kuwa na chuki na wivu tu.Huna cha maana unachoweza kuongeza kwenye maisha yako bali kuwa hasidi na roho mbaya.Utabakia kusema watu huku ukiwa na msoto wa nguvu.
Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United.
 
Kama vision yetu inatamka kuipiku nigeria ktk uzalishaji wa mahindi basi tunasababu ya kujipongeza.Lakini kama vision yetu ni kuwa nchi inayoongoza uzalishaji wa mahindi afrika kelelehizi za nini?
Vision ni kuwa Ukraine wa Afrika,Ili kufika huko lazima kuwakalisha kina Nigeria na South Africa kwanza.

Kwa taarifa Yako tuu Kwa Sasa ni namba 4 Kwa kuuza Mchele/mpunga mwingi Afrika nzima ila Kuna hactares zaidi ya 500k za irrigation ziko kwenye ujenzi,ndani ya miaka 2 ijayo tutakuwa namba 1.
 
Ukiona mtu yuko bitter na maisha ni dalili ya kufeli kwenye maisha. Unabakia kuwa na chuki na wivu tu.Huna cha maana unachoweza kuongeza kwenye maisha yako bali kuwa hasidi na roho mbaya.Utabakia kusema watu huku ukiwa na msoto wa nguvu.
Wisdom is chasing you but you are always faster. Dundee United.
Nimecheka kwa nguvu, niko hapa Dar muda mrefu kidogo, nina asset za kuniwezesha kukulipa mshahara ww na mke/mumeo hata kama wote mna PhD. Yaani mnaoweza kula msoto ni nyie mliokuja hapa mjini ukubwani kusaka maisha. Mimi sio muumini wa majizi na wapika data. Kama ww ni muumini wao, hiyo ni kimpango wako.
 
Watu wa Dar mara nyingi Wana akili Zenye stress sana yaani ni Afya yenu ya akili sio sawa Kwa sababu ya shida mnazopitia hapo Mjini kuanzia kula vitu substandard Hadi hewa mbovu.

Ndio maana una panic hovyo Kwa data tunazokuwekea kutokea huku shamba tunakovuta fresh air 🤣🤣
 
  • Nzuri
Reactions: Tui
Ni hivi, mimi na majizi na wapika data ni vitu viwili tofauti. Hutaki jinyonge 🌈
Wewe ndio utajinyonga sisi tutakuchemshia data utake au usitake,utukane au usitukane utaoewa tuu
 
Watu wa Dar mara nyingi Wana akili Zenye stress sana yaani ni Afya yenu ya akili sio sawa Kwa sababu ya shida mnazopitia hapo Mjini kuanzia kula vitu substandard Hadi hewa mbovu.

Ndio maana una panic hovyo Kwa data tunazokuwekea kutokea huku shamba tunakovuta fresh air 🤣🤣
Yaani nipanick kwa data ambazo hata sina muda wa kuzisoma!😂
 
Ungekuwa huna mda wa kuzisoma ungekuja kumwaga povu humu? 🤪🤪

Relax kwanza bwana nyumbu ,
🌈 Niko humu jf zaidi ya 10yrs, nikiona chawa analeta taarifa zake humu wala sina muda wa kuzisoma maana najua ni za kupika. Naangalia maisha ya hao wakulima unaoleta data zao nawaona wachovu tu, sasa data za nini?
 
Back
Top Bottom