Nyie mnaodai Takwimu zimepikwa, leta zenu za ukweli. Ni ukweli kuwa uwekezaji mkubwa unaofanywa na serikali kwenye kilimo umeanza kulipia. Mavuno mavuno mazur na bei mzuri zimevutia raia wengi kuingia kwenye kilimo, kwahiyo sishangai kuwa namba 2 na tena muda sio mrefu t utakuwa namba 1 maana kundi kubwa la vijana hata ukiwaona wapo humu jamiiforums ila wanapost wakiwa shambani, maana ktk eneo nalo mama ameligusa Sana ni hili pia la mawasiliano. H+ inapatikana karibia kila Kona ya nchi hii.
Hapa kwetu Asilimia ya vijana wengi wameenda shambani kulima, kupo kimya, wameenda kulima ufuta.
Wanataka kumalizia majumba Yao kuezeka msauzi. Wewe subiri data za ukweli ili uandaman