Wakuu habari?,
Nina ndoto za kuwa mfugaji wa kuku wa kienyeji lakini tatizo ni mtaji.
nimeamua kuweka angalau 10,000/= kila siku kwa miezi 6 ili niwe na mtaji wa kutimiza ndoto zangu,sasa basi wadau naomba kujulishwa haya:
1. ni wapi niweke pesa yangu ili baada ya kipindi hicho niweze kupata mkopo dhaman ikiwa ni huo mzunguko wa pesa yangu.
2. hapo ntakapoweka riba zipoje?
asanteni sana