Uwekwe Mpango wa Kupanda Misitu ya Asili kwa Helicopter jirani na majiji makubwa Tanzania

N'yadikwa

JF-Expert Member
Joined
Aug 10, 2014
Posts
8,308
Reaction score
12,812
Yaani Serikali kama pale Mwanza,Mbeya na Dar es Salaam chopper linapita kwenye maeneo ya wazi ya Serikali inamwaga mbegu za miti mbalimbali ya asili lakini pia zoezi lifanyike kwingineko kulikoharibiwa miti.
Idadi yetu inakua kwa kasi uoto unapungua hii inahatatisha ustawi wa kizazi cha kesho.

Mfano ile safu ya Morogoro unaiongezea miti. Dodoma msimu wa mvua unamwaga mbegu za shrubs zinazoota fasta msimu ujao unapanda msitu kwa kumwaga mbegu. Huko duniani wanafanya and it works.

Arusha na Kilimanjaro uoto ni wa kutosha sababu ya initiatives za kupanda miti kila mwaka.

Let's make it a national campaign kila mwaka kupanda miti angalau miti milioni 1 kila mkoa iwe lazima na kwa sheria kabisa
 
Ujenzi na kilimo holela vinagharimu nchi nyingi za kiafrika.
Mfano, Kwa Mbeya, Isanga,Nzovwe, Mabatini, Airport, Uyole ilitakiwa zivunjwe zote na kuweka nyumba chache za ghorofa huku eneo lililobaki lipandwe miti.
Kwa Arusha, Kwa mrombo, Intel ni mahali pa ajabu,kwanza sijui ni nani aliruhusu viwanja vikatwe mita 10 kwa 10. Kiukweli Kuna maeneo kama Intel ilitakiwa iwe eneo lisilo la makazi kabisa lakini raia na serikali Yao wameforce.
Anyways naweza nikawa nipo nje kidogo na mada kwa hayo niliyoyaandika, lakini ni bora nimetema nyongo.
Kwa hoja Yako nakubaliana nayo asilimia 100, Dodoma wangeiwahi kabla haijawa too late.
 
Kama pale Mbeya mjini wananachi wamejenga juu ya milima kule kawetere ilitakiwa ile milima iwe imepandwa misitu kama mapafu ya mji kupumua wakajifunze Arusha mji unapumua na una hewa safi sababu ya misitu kule milimani...zile nyumba zote kule juu inabidi zibomolewe ipandwe miti
 
Yani unataka Helicopter iache kutembeza picha ya Samia ipande miti? Are you serious?
 
Kama pale Mbeya mjini wananachi wamejenga juu ya milima kule kawetere ilitakiwa ile milima iwe imepandwa misitu kama mapafu ya mji kupumua wakajifunze Arusha mji unapumua na una hewa safi sababu ya misitu kule milimani...zile nyumba zote kule juu inabidi zibomolewe ipandwe miti
Brother nimeona, utafikiri hakuna Baraza la Madiwani la Jiji. Hivi unarihusu vipi watu kujenga mlimani, Inachekesha sana. Arusha wamejitahidi Nafikiri pia kwasababu ya mlima Meru ni kama kivutio Cha utalii kwahiyo miti ikikatwa huku chini kule juu hata kale kabarafu kaliopo kanaweza kutoweka.
Ukija Mbeya sasa,Hadi hasira,Mbeya inatia Hasira sana. Ukiwa unaingia Mbeya kutoka Tukuyu, Ule mlima unavuoonekana ulivyopauka as if ni mlima wa Dodoma au shinyanga. Dah kweli hatuna viongozi.
 
Kawetere mwaka 1998 ulikuwa wote umefunikwa na uoto wa miti ya kupandwa na Serikali sijui kilitokea nini mlima ni kipara sasa hivi sehemu ndogo tu ndio ina uoto, watu wamegawiana wanapanda viazi na wengine kujenga juu ya vilele vya mlima!!! Inashangaza sana!
 
Back
Top Bottom