Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

🤭🤭
 
Ingekuwa China, viongozi wa TANESCO na washirika wao wangesha nyongwa kitambo.

Walikuwa wanasema kuna upungufu wa umeme kwa sababu mabwawa hayana maji. Sasa mvua zimenyesha sana, bado umeme hakuna na hawatoi maelezo!
Hakika
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Nahisi Aliyekuwa Anaiendesha Account Wamembadilisha
Ukweli Yule Mwamba Alikuwa Active Hata Akitukanwa Anajibu Kwa Busara
Pia Upande Wangu Nilimuona Akisaidia Bila Huba, Husda Na Fitna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…