Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

Uwepo wa ID ya Tanesco hapa JF hauna faida yoyote kwa members, bora isiwepo tu

Ngoja nisubirie umeme wangu uniishie,namuita kishoka aniungie umeme wao hapo juu,haiwezekani niwe na hela nahitaji umeme ninunue halafu mmiliki wa mita awe na tatizo la kimfumo,yani nilale giza hela niliyoipanga kununulia umeme ndio nitakayompa uyo kishoka akapooze koo na supu
🤭🤭
 
Ingekuwa China, viongozi wa TANESCO na washirika wao wangesha nyongwa kitambo.

Walikuwa wanasema kuna upungufu wa umeme kwa sababu mabwawa hayana maji. Sasa mvua zimenyesha sana, bado umeme hakuna na hawatoi maelezo!
Hakika
 
Poleni sana, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Nahisi Aliyekuwa Anaiendesha Account Wamembadilisha
Ukweli Yule Mwamba Alikuwa Active Hata Akitukanwa Anajibu Kwa Busara
Pia Upande Wangu Nilimuona Akisaidia Bila Huba, Husda Na Fitna
 
Back
Top Bottom