Uwepo wa "JamiiCard" payment system kutatoa upinzani kwa Visa na Mastercard

C.T.U

JF-Expert Member
Joined
Jun 1, 2011
Posts
5,074
Reaction score
3,743
wakuu habari zenu??

Aisee nimekuwa nikifuatilia kwa siku nyingi swala la sisi waafrica kuwa na payment system yetu kama visa na mastercard na sisi tukawa na system yetu ya payment kama vile jamiicard ikawa ina work kwenye ma benki yote ya wazawa afrika iwapo benki za magharibi wakitunyima ruhusa ya jamii card ku work katika benki zao ...

Mfano tembocard si wana tembocard visa na tembocard mastercard so i think wanaweza kuwa na tembocard "JamiiCard"

Hii idea kwa juu juu unaweza sema haiwezekani ila ni bonge la idea na inawezekana iwapo ukaweka mchango wako hapa.....

Karibu katika kuchangia....

Business hii
 
hivi we ina akili kweli au umeshiba masupu ya utumbo so unaandika andika tu vitu
 
Are U asking for ideas au unatuhabarisha ugunduzi?
 
Huyu jamaa anatokea eneo ambalo hizo huduma ni msamiati, so anaamini hata hapa Jf watu hawajui kama yeye alivyokuwa hajui.
Hilo jina la Jamiicard, sio uvumbuzi kaka.
 
Mkuu, yaani nimefungu haraka haraka nikidhani kweli kuna uvumbuzi, kusoma habari nakuta ni wish! Lah, watu mnajua kuzengua!
 
unataka nini sasa
maana maelezo yako na kichwa cha habari - kama hakieleweki vile!
 
i thought ipo tayari hiyo jamiicard, kumbe ni wazo, ni mawazo yake jamani msifadhaishe sana
 
wewe ndie great thinker wa kweli waliobaki wanasubili kuedit tu..
bonge la idea mkuu kama liandike vizuri halafu wapelekee hilo wa BOT watakushauri nini ufanye..
 
i think kichwa cha habari na maelezo yako haviendani kabisa....wengi tumezani kuna kitukimevumbuliwa ...lakini kwa upande mwingine ....wa shilingi umeongea pointin nzuri ...ni kweli ni muhimu kwa mabenki ya afrika kuwa na payment system zetu ..nawakilisha
 
wewe ndie great thinker wa kweli waliobaki wanasubili kuedit tu..
bonge la idea mkuu kama liandike vizuri halafu wapelekee hilo wa BOT watakushauri nini ufanye..

Hii ndiyo inayotakiwa. nadhani jamaa nidea yake ni nzuri na inahitaji kutiwa moyo ili uvumbuzi huu utokee maana kwa kweli itatuweka walau kidogo nje ya mfumo wa kibeberu wa kitandawazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…