Tajiri Tanzanite
JF-Expert Member
- Oct 23, 2016
- 2,536
- 4,621
Hapo vip!
Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.
Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club yake,na amekua akitumika kama wakala wa kuratibu usaliti kwenye club ya Simba kutoka kwenye club ya Yanga na vilabu vingine.
Sasa mtu huyu sio mtu wa kuendelea kuwa naye karibu na hata kuwepo kwenye club ya Simba, anastahili atimuliwe mara moja kwa usalama wa club na wachezaji wake.
Sasa ipo hivi huyu manula hafurahishi hata kidogo na ubora na uimara wa Camara katika club Simba sc, hivyo kwatabia ya manula tu inaonekana yupo tayari kuwarubuni wenzake kwa njia tofauti tofauti ili washindwe au wakose wote.
NB: Atawaendea hata kwa waganga wenzeke ili wakimbie wenyewe kwenye club au waumie,au washuke viwango kabisa.
Huyu mtu aondoke haraka
Soma Pia: Nawaonya Uongozi wa Simba SC huyu Kipa Aishi Manula karejea Kambini kwa Shingo Upande, hivyo msimuamini kabisa kwa Kumpanga kwani atatuumiza pakubwa