Uwepo wa Manula Simba sc inatengeneza mazingira magumu ya ufanyaji kazi kwa Camara

Hapo vip!

Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.

Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club yake,na amekua akitumika kama wakala wa kuratibu usaliti kwenye club ya Simba kutoka kwenye club ya Yanga na vilabu vingine.

Sasa mtu huyu sio mtu wa kuendelea kuwa naye karibu na hata kuwepo kwenye club ya Simba, anastahili atimuliwe mara moja kwa usalama wa club na wachezaji wake.

Sasa ipo hivi huyu manula hafurahishi hata kidogo na ubora na uimara wa Camara katika club Simba sc, hivyo kwatabia ya manula tu inaonekana yupo tayari kuwarubuni wenzake kwa njia tofauti tofauti ili washindwe au wakose wote.

NB: Atawaendea hata kwa waganga wenzeke ili wakimbie wenyewe kwenye club au waumie,au washuke viwango kabisa.

Huyu mtu aondoke haraka
Haya mambo ya usaliti mnayatoaga wapi? Yaani mwanaume mzima unaandika umbeya? Au wewe ni mdada?
 
Kwani akienda kwa mkopo atakuwa halipwi mshahara?
Ni hivi club ya Simba inachukua kibunda alafu mchezaji anaenda kulipwa kule kwenye club mpya kwa utaratibu mwingine,kuna uwezekano wa hiyo percent kukosekana.
 
Hapo vip!

Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.

Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club yake,na amekua akitumika kama wakala wa kuratibu usaliti kwenye club ya Simba kutoka kwenye club ya Yanga na vilabu vingine.

Sasa mtu huyu sio mtu wa kuendelea kuwa naye karibu na hata kuwepo kwenye club ya Simba, anastahili atimuliwe mara moja kwa usalama wa club na wachezaji wake.

Sasa ipo hivi huyu manula hafurahishi hata kidogo na ubora na uimara wa Camara katika club Simba sc, hivyo kwatabia ya manula tu inaonekana yupo tayari kuwarubuni wenzake kwa njia tofauti tofauti ili washindwe au wakose wote.

NB: Atawaendea hata kwa waganga wenzeke ili wakimbie wenyewe kwenye club au waumie,au washuke viwango kabisa.

Huyu mtu aondoke haraka
Waliotakiwa kuwajibishwa kwenye hiyo mechi ni viongozi Ila wakaamua kucheza na akili za washabiki wakadai Kuna wachezaji wameuza mechi.
 
Hapo vip!

Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.

Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club yake,na amekua akitumika kama wakala wa kuratibu usaliti kwenye club ya Simba kutoka kwenye club ya Yanga na vilabu vingine.

Sasa mtu huyu sio mtu wa kuendelea kuwa naye karibu na hata kuwepo kwenye club ya Simba, anastahili atimuliwe mara moja kwa usalama wa club na wachezaji wake.

Sasa ipo hivi huyu manula hafurahishi hata kidogo na ubora na uimara wa Camara katika club Simba sc, hivyo kwatabia ya manula tu inaonekana yupo tayari kuwarubuni wenzake kwa njia tofauti tofauti ili washindwe au wakose wote.

NB: Atawaendea hata kwa waganga wenzeke ili wakimbie wenyewe kwenye club au waumie,au washuke viwango kabisa.

Huyu mtu aondoke haraka
kuhusu usaliti, huo ni uwongo mkavu. Siku ya 5G, manula alisevu mikwaju mingi sana kabla ya kuelemewa.

Angalia kuanzia dakika ya 5:00 uone jinsi alivyosevu mikwaju kwa kujituma

View: https://www.youtube.com/watch?v=Zdm58rfdQ1I
.
 
Ukiangalia kwa hilo jicho la kawaida hauwezi kuona kitu..we baki hivyo kama unavyo amini hivyo.Na mimi na wengine acha tubaki na ukweli wetu
 
Umeandika upuuzi

Manura yupo simba ana mkataba

Analipwa bonus timu ikifanya vizuri

Anaumia mazoezini ili kujiweka sawa

Mpira ni kazi yake

Hawezi kuuza mechi, acha hisia dogo
MBUMBUMBU SC.
 
Ni hivi club ya Simba inachukua kibunda alafu mchezaji anaenda kulipwa kule kwenye club mpya kwa utaratibu mwingine,kuna uwezekano wa hiyo percent kukosekana.
Wakati mnachukua ubingwa mara nne mfululizo mbona mlikuwa hamumuiti DUKA!?? Timu lenu libovu mnatafuta tu pa kujifichia....
 
Sielewi ni kwanini, ila Manula kapoteza Imani kabisa kwa Mashabiki.
Kama atakaa golini ajue kuwa Simba isifungwe.
Yaani isipoteze hiyo Mechi.
Magoli ya Prison na Yanga msimu uliopita yamemwondolea Imani kwa washabiki wa Simba.
Ni bora abakie benchi kama Kamara Yupo fiti.
Asilazimishe kucheza, na kama anapata mshahala wake kama kawaida basi na atulie ili kulinda heshima yake.
Yanga Wana mambo mengi sana nje ya uwanja.
Siku tunafungwa 5 na Yanga, Baleke na Chama walikuwa wanashangilia huku Muhamedi Hussein na Kapombe wanalia mchozi.
Na Leo wako Yanga.
Hivi unawafunga Yanga goli 5 na mchezaji wao anashangilia baada ya mechi na wachezaji wa Simba ni nini kingetokea kwa huyo mchezaji.
Simba walitulia tu.
 
Shida ya wabongo ni mihemko na kuendeshwa kwa hisia. Mpira unapoisha ni kawaida wachezaji kuonesha fair play. Sasa nyie mnataka mchezaji alie au anune ndio kuonesha ana machungu, inasaidia nini kwa wakati huo? Kule ulaya wachezaji wanafungwa goli saba na bado mpira ukiisha yupo comfortable tu kusalimiana na wachezaji wenzie. Mpira sio vita na chuki kama mlivyojengeka kichwani mwako.

Mnajidanganya Yanga wana mambo mengi nje ya uwanja, wakati huo huo Yanga ndiye timu yenye takwimu nzuri sana kwa misimu hii miwili kwenye viwanja vya away mashindano ya CAF. Ingekuwa Yanga inategemea janja janja ungeona ni timu inayotegemea zaidi uwanja wa nyumbani kwake kama ilivyo kwa Simba hadi wakaweka kauli mbiu ya kwa Mkapa hatoki mtu. Timu inayotegemea zaidi nyumbani ndio timu ya janja janja za nje ya uwanja lakini hali ni tofauti sana kwa Yanga.

Belouizdad ni timu bora kwenye mashindano ya CAF kuliko Simba, kapigwa goli 4 kwa 0 hatukusikia wakilalamika hujuma ya wachezaji kununuliwa wala uchawi, sasa nyie Simba mlikuwa na timu ipi ambayo iwafanye mlinge kuliko Belouizdad? Ndio maana Al Ahly kawapiga nje ndani
 
Hapo vip!

Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.

Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club yake,na amekua akitumika kama wakala wa kuratibu usaliti kwenye club ya Simba kutoka kwenye club ya Yanga na vilabu vingine.

Sasa mtu huyu sio mtu wa kuendelea kuwa naye karibu na hata kuwepo kwenye club ya Simba, anastahili atimuliwe mara moja kwa usalama wa club na wachezaji wake.

Sasa ipo hivi huyu manula hafurahishi hata kidogo na ubora na uimara wa Camara katika club Simba sc, hivyo kwatabia ya manula tu inaonekana yupo tayari kuwarubuni wenzake kwa njia tofauti tofauti ili washindwe au wakose wote.

NB: Atawaendea hata kwa waganga wenzeke ili wakimbie wenyewe kwenye club au waumie,au washuke viwango kabisa.

Huyu mtu aondoke haraka

Soma Pia: Nawaonya Uongozi wa Simba SC huyu Kipa Aishi Manula karejea Kambini kwa Shingo Upande, hivyo msimuamini kabisa kwa Kumpanga kwani atatuumiza pakubwa
Mtoa post wewe ni mjinga na mpumbavu!
 
Sasa hapo hamjapakwa Mafuta kwenye Mata ya Koo yenu, je mkipakwa si mutazidi kutoa Ushuzi!!?
 
Back
Top Bottom