Kama ikitokea tukashirikiana bila mivutano kuitoa hiyo alama ya kuuliza(?)hapo mwisho,natumai tutalifikia jibu kwa wepesi zaidi.MBOWE ameonekana kupitia TBC kwenye shughuli ya UFUNGUZI WA BWAWA la Mwl Julius Nyerere je ni USALITI KWA LISSU?
Labda kwa kupoteza umaarufu na umuhimu kwenye jamii anaona kwa kuwa karibu nao labda jina lake linaweza japo kuonekana kwenye mediaMBOWE ameonekana kupitia TBC kwenye shughuli ya UFUNGUZI WA BWAWA la Mwl Julius Nyerere je ni USALITI KWA LISSU?
Kwa maamuzi hayo,haturuhusiwi kufunua mafaili ya zamani ili tujue wale waliokuwa wanavuta bangi ili tuone ilivyoathiri uwezo wao wa kutafsiri mambo mepesi?Labda kwa kupoteza umaarufu na umuhimu kwenye jamii anaona kwa kuwa karibu nao labda jina lake linaweza japo kuonekana kwenye media
Ni hayo tu
Kama nikishindwa kuelewa ulichokiandika hakika sintoambulia chochote maishani.Mbowe ni mtoto wa Town , aliitumia CHADEMA kujijengea utajiri wa kwake na familia, sasa hivi hakuna anachoweza kupata pale CHADEMA baada ya Lissu kukabidhiwa chama hivyo ameamua kujisalimisha zizini huko CCM ambapo ndiyo business partner wake katika Siasa za Ulaghai.
Yupo huru. MwacheniMBOWE ameonekana kupitia TBC kwenye shughuli ya UFUNGUZI WA BWAWA la Mwl Julius Nyerere je ni USALITI KWA LISSU?
Si usaliti, anybody can be there regardless mwananchi wa kawaida ama kiongoziMBOWE ameonekana kupitia TBC kwenye shughuli ya UFUNGUZI WA BWAWA la Mwl Julius Nyerere je ni USALITI KWA LISSU?
Mambo ya chama yameingiaje?Chama si mmeachiwa ,shobo za nn tena?
Mbowe ni mtoto wa Town , aliitumia CHADEMA kujijengea utajiri wa kwake na familia, sasa hivi hakuna anachoweza kupata pale CHADEMA baada ya Lissu kukabidhiwa chama hivyo ameamua kujisalimisha zizini huko CCM ambapo ndiyo business partner wake katika Siasa za Ulaghai.