Uwepo wa Panyaroad mkoa wa Morogoro

Uwepo wa Panyaroad mkoa wa Morogoro

Eti hamjui mfanye nini...Wake up man. Jipangeni fasta kwa umoja wenu wakifika muwape show moja ya kibabe na muondoke na 3-5 kesho hawatorudi tena. Acheni kulia-lia hapa. Uwezo mnao, nia mnayo na sababu mnayo. Mkibweteka eti kusubiri polisi mtakaa sana. Malizeni hiyo hoja chap.
Unavyodhani ni rahisi ivo kama unavyojua hakuna mtu anakubali kuhatarisha maisha yake ata wakija hakuna jirani ata mmoja anayetoka kusaidia kila mtu ana hofu juu ya ili swala
 
kwakweli hakuna amani saa moja watu tupo ndani na wanagonga juzi wamegonga apa nyumban kwang bahati nzuri nilifunga milango mapema sikufungua
Acha uoga mkuu. Ungetoka nje na bakola uwatimue.
 
Unavyodhani ni rahisi ivo kama unavyojua hakuna mtu anakubali kuhatarisha maisha yake ata wakija hakuna jirani ata mmoja anayetoka kusaidia kila mtu ana hofu juu ya ili swala
Hao panya rodi watawafikisha mahali matakubaliana nami. Ila mtakuwa mmechoka sana.
 
Mkuu usiogope kufa pengine ndo imepangwa iwe jivyo
Sio kama naogopa kufa lakini ni heri kuokoa nafsi za wengne na pia tahadhari ni bora ata vitani huwez kukubali kufa kirahisi ukiwa na wazo labda imepangwa
 
Mimi sijapingi idea yako ipo vizuri Ila kama unavyojua kibongobongo nani yupo tayari kujitolea
Haujitolei hata kidogo bali Unawajibika(wewe na wenzio) kuhakikisha Amani inakuwepo kwenu kwa gharama yoyote ile.Msikubali vijana wadogo wenye rungu na panga wakawanyanyasa hivo.
 
Haujitolei hata kidogo bali Unawajibika(wewe na wenzio) kuhakikisha Amani inakuwepo kwenu kwa gharama yoyote ile.Msikubali vijana wadogo wenye rungu na panga wakawanyanyasa hivo.
Natamani watu wenye roho ya kuwajibika kama wewe tungekuwepo kama 20 bas kungezuia ili
 
Tunahitaji mamlaka husika ishughulikie ili sababu mbona dar waliweza kuwathibiti why morogoro isiwezekane
Ukianza kulinganisha eti mbona Dar iliwezekana kumbuka Dar na Moro mazingira tofauti Dar pana macho ya wakubwa (Interest/maslahi) na wakubwa wengi wanaishi hapo.
 
Watakuwepo hata zaidi ya 20+ Ngoja "mguswe" wote utawaona. Muda tu ndio utakaosema.
Ila sasa polisi wakija watatofautishaje vijana wanao pambana na panya road na hao panya road mwsho wa siku wote mnaonekana panya road
 
Ila sasa polisi wakija watatofautishaje vijana wanao pambana na panya road na hao panya road mwsho wa siku wote mnaonekana panya road
Sidhani kama itakuwa hivyo. Ninyi mnakuwa mmejiandaa i.e. ni siri baina yenu na mnafahamiana na mnatambulika hata na uongozi wa mtaa kama ni watu wa ulinzi shirikishi au ni sungusungu. Hata hivyo mbona hao panya rodi wanafahamika? Si wanaishi miongoni mwenu ila mtu mmoja-mmoja mnaogopa kuwataja? Polisi huwa hawaji ila baadaye sana kazi ikishakuwa imekamilika na nyie kupewa jina la "Watu wenye hasira kali"
Kwa kupotezea, Polisi watakusanya wachache wenu lakini baadaye wanaachiwa na mchezo umekwisha.
 
Unavyodhani ni rahisi ivo kama unavyojua hakuna mtu anakubali kuhatarisha maisha yake ata wakija hakuna jirani ata mmoja anayetoka kusaidia kila mtu ana hofu juu ya ili swala
sasa kwa huo ujinga wenu ndo mnahatarisha maisha yenu , mkijiona soft unataka kulindwa polis 20 wa kituo chenu hawawez kulinda kata nzima ambayo inashambuliwa na panya road 50
 
Sio kama naogopa kufa lakini ni heri kuokoa nafsi za wengne na pia tahadhari ni bora ata vitani huwez kukubali kufa kirahisi ukiwa na wazo labda imepangwa
watakuja sabab mmeamua waachia waje , yaan kulinda mtaan kwen mnataka mseleleko
 
Back
Top Bottom