Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
Wanawafanya waumini wote hamnazoWakaendelee kuwasomea waraka wao makanisani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanawafanya waumini wote hamnazoWakaendelee kuwasomea waraka wao makanisani
Tumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Sasa mkuu wangu, kuna mtu amelazimishwa kwenda hajj katika miji mitakatifu? watu wanakwenda wenyewe kwa hiari yao kama ambavyo wamekuwa wakienda tangu enzi za ibrahim amani iwe juu yake, ama kurusha hayo mawe ni sehemu tu ya kutekeleza tendo miongoni mwa matendo ya hajj na haimaanishi kuwa shetani yuko pale kwenye zile kuta.Hapana mkuu,ni muhimu kujadili suala la maendeleo ya watu kijamii,kiuchumi na kiutamaduni pasipo kuhusisha dini.
Kuhusu uwekezaji wa Dubai Ports World kwenye bandari yetu/zetu shida si muwekezaji,bali shida ni aina ya mkataba ulivyokuwa/ulivyo.
Sijauona huo unaotajwa kufanyiwa marekebisho lkn km umefanyiwa marekebisho ni jambo jema kwani kwa ninavyosikia kwa sasa ni wazi kwamba jamaa wamepewa miaka 30,ni ktk bandari moja tu na tathimini itakuwa ikifanyika kila baada ya miaka mi 5.
Sasa km hayo marekebisho yamefanyika na ninyi hamkupenda iwe hivyo basi ni maono yenu km ambavyo sisi Watanganyika tulio wengi tulitamani iwe hivyo.
Si hivyo tu,mimi ni Msabato kwa imani lkn siwezi kukubaliana na unyanyasaji ambao wamekuwa wakifanyiwa watu wa Palestine na kwingineko duniani kwa kigezo cha imani za kidini.
Ni upumbavu wa kiwango cha juu sana mimi kuwaunga mkono Israel eti kwa sababu ya vivutio vya utalii wao huku wakitulaghai kuwa ndiko alikozaliwa,zikwa Yesu.
Si hivyo tu,hata vile vivutio vya utalii kule Maka na Madina ambako watu kwa kulazimishwa wanapeleka kokoto eti wanaambiwa kuwa ni kumrushia jiwe shetani,wanatoa fedha nyingi na kuambulia jina eti El Hadji.
Simo ndani ya upuuzi wa dini mimi,ninacho kujua mimi dini ni taasisi za kifedha zenye mifumo ya unyinyaji,hivyo huwa ninaenda ili tufahamiane na kuimarisha upendo kati yetu na jirani zetu.
picha kidgo mkuu tuhakikisheTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Huyo jamaa ni shida, chuki binafsi na uchonganishiKama maoni yamezingatiwa na mkataba umeboreshwa ,basi shida ya mtoa mada ni uwepo wa Waarabu bandarini.
Watu wengine mna nongwa za ajabu hivi kanisa lishindwe kufany shughuli zake kisa wewe au kimchango chako?utakufa utaliacha hizi taasisi ni kubwa sana mkuu acha kujipa umuhimuTumsifu Yesu Kristu.
Leo tarehe 22.10.2023 umehudhuria kikao cha utiaji saini HGA kwa ajili ya uendeshwaji na uendelezwaji wa Bandari ya Dar es Salaam.
Kwa kuwa wewe ndo uliyekuwa kinara wa kupinga uwekezaji wa DP World hapa Nchini, na leo umehudhuria kikao cha utiaji saini jambo lile lile ulilolipinga kwa nguvu zote, Waamini wa Kanisa Katoliki Tanzania tunaomba utoe ufafanuzi wa kina tena bila kupepesa macho kuhusu suala hili. Kama ufafanuzi wa kina hautatolewa haraka:-
(1) Binafsi sitatoa sadaka wala mchango wowote ule Kanisani, kwani sitakuwa tena na Imani na Kasisi yeyote yule. Lakini pia nitawashawishi na Waamini wengine kuchukua hatua nilizochukua.
(2) Nitajiuzuru nyadhifa zangu zote katika Kanisa na kuwashawishi wengine kufanya hivyo.
Tunaomba bila kupoteza muda mwingi jitokezeni kutoa maelezo ya kina.
Nelson Mandela, alishinda mfumo mzima wa apartheid! Akaja akawa Rais! Usiwaze kinyonge bro!Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali?
Hayo ameyasema Mama, tunataka wayathibitishe hayo TEC wenyewe kwa vinywa vyao ili tupate kuamini.Umemsikiliza rais?
1. Hujaona kuwa mkataba umerekebishwa na sasa una ukomo wa miaka 30?
2. Hukumbuki kuwa TEC ilipinga baadhi ya vipengele hasa mkataba kutokuwa na ukomo na sasa umerekebishwa?
3. Hujamsikia rais kuwa walilazimika kuwaingiza baadhi ya wadau kufanya majadiliano ya kurekebisha mkataba ni pamoja na TEC...LABDA?
Umeona ulivyojidhihirisha km nilivyofikiri kuwa uko hivyo? Ndivyo hivyohivyo suala la kupingwa kwa mkataba wa uwekezaji bandari mlivyo lichukulia kwa mlengo na utashi wa kidini na siyo kwa manufaa ya taifa.Sasa mkuu wangu, kuna mtu amelazimishwa kwenda hajj katika miji mitakatifu? watu wanakwenda wenyewe kwa hiari yao kama ambavyo wamekuwa wakienda tangu enzi za ibrahim amani iwe juu yake, ama kurusha hayo mawe ni sehemu tu ya kutekeleza tendo miongoni mwa matendo ya hajj na haimaanishi kuwa shetani yuko pale kwenye zile kuta.
Ama kusema dini ni taasisi ya kifedha sio sahihi pia, uislamu umekuja kama muongozo wetu tangu enzi ya aadam amani iwe juu yake, na wamefuatana mitume wengi tangu wakati huo mpaka zama zetu, wote ujumbe wao ni mmoja tu watu wamuabudu mola mmoja muumba wa kila kitu na wajiepushe na njia ya shetani.
Kuhusu saudi arabia iliko miji mitakatifu kunufaika na hajj kiuchumi ni sehemu ndogo sana ya uchumi wake, na sehemu kubwa yenyewe ndio inatoa misaada na huduma kwa hao mahujaji.
"Hazimfikii Allah nyama zao wala damu zao, lakini unamfikia uchamungu wenu, kama hivi tumewadhalilisha kwenu ili mumtukuze allah kwa alivyo kuongozeni, na wabashirie wafanyao mema."
Qur'an 22:37
Hakuna lolote TEC wamechemka.Umemsikiliza rais?
1. Hujaona kuwa mkataba umerekebishwa na sasa una ukomo wa miaka 30?
2. Hukumbuki kuwa TEC ilipinga baadhi ya vipengele hasa mkataba kutokuwa na ukomo na sasa umerekebishwa?
3. Hujamsikia rais kuwa walilazimika kuwaingiza baadhi ya wadau kufanya majadiliano ya kurekebisha mkataba ni pamoja na TEC...LABDA?
Hilo litakuwa ni jambo jema.Kwa ufupi, Kitima anatakiwa atoe maelezo , aitishe press kufafanua nini kilijiri.
Ndugu Kalamu,Hilo litakuwa ni jambo jema.
Lakini elewa, serikali yenyewe wamekwisha eleza hilo, hata kama ni kwa uchache.
Kitima kuwepo hapo, maana yake alipewa mwaliko maalum, ili kuisafisha serikali mbele ya macho ya wananchi.
Angekataa mwaliko huo, na huku alishashirikishwa kwenye marekebisho?
"Kutoa maelezo" unakokutaka, maana yake ni kushiriki katika kuisafisha serikali; hata katika mambo mengine ambayo hayahusu mkataba huu. Hilo haliwezi kuwa jukumu la TEC.
Mimi ninakubaliana na wewe katika hili, lakini wakati huo huo inabidi utambue kuwa ni kama unatafuta njia ya kuwapambanisha na serikali.Ndugu Kalamu,
Hadi sasa wananchi hatujayaona marekebisho hayo zaidi ya kusimuliwa,
Maelezo yake kwamba ameona marekebisho waliyoyapigia kelele yametatuliwa katika Mkataba, ingeondoa sintofahamu.
Acha sound bana. Hivi kwanini hua hamuamini kwamba hawa viongozi wenu nao ni binadamu na hawajakamilika? Hua nao wanakosea msiwe watetezi wao kwa kila kituHakuna logic ya kufanya hivyo na Hilo sio lengo la kanisa.Nadhani hujui misingi ya waraka.Waraka hauandiliwi tu kufurahisha watu huwa ni ujumbe mahisusi
Alihudhuria bila kuambiwa ni events gani ,kadi imeandikwa ni hafla ,baada ya kuwasili anashtuka ni mkataba wa bandariTumsifu Yesu Kristu.