Uwepo wa Rev. Fr. Charles Kitima kwenye utiwaji saini wa Mkataba wa DP World unahitaji majibu

Hakuna sehemu kanisa lilikataa hhyo offer...kanisa lilikua linapingana na baadhi ya vipengele..i hope vimerekebishwa
 
Kuna namna imefanyika hapa kujaribu kuhadaa watu, huwezi kujisifu kuwa na mikataba mizuri ya utekelezaji wakati IGA ya kikanjanja inayolinda hiyo mikataba ya utekelezaji ipo palepale, matokeo yake ikitokea mnataka kuvunja mikataba ya namna hii mnaishia kulipa faini kama hii majuzi ambapo bil. 75 imelipwa kindezi tu.​
 
Sasa mkuu wangu, kuna mtu amelazimishwa kwenda hajj katika miji mitakatifu? watu wanakwenda wenyewe kwa hiari yao kama ambavyo wamekuwa wakienda tangu enzi za ibrahim amani iwe juu yake, ama kurusha hayo mawe ni sehemu tu ya kutekeleza tendo miongoni mwa matendo ya hajj na haimaanishi kuwa shetani yuko pale kwenye zile kuta.

Ama kusema dini ni taasisi ya kifedha sio sahihi pia, uislamu umekuja kama muongozo wetu tangu enzi ya aadam amani iwe juu yake, na wamefuatana mitume wengi tangu wakati huo mpaka zama zetu, wote ujumbe wao ni mmoja tu watu wamuabudu mola mmoja muumba wa kila kitu na wajiepushe na njia ya shetani.

Kuhusu saudi arabia iliko miji mitakatifu kunufaika na hajj kiuchumi ni sehemu ndogo sana ya uchumi wake, na sehemu kubwa yenyewe ndio inatoa misaada na huduma kwa hao mahujaji.

"Hazimfikii Allah nyama zao wala damu zao, lakini unamfikia uchamungu wenu, kama hivi tumewadhalilisha kwenu ili mumtukuze allah kwa alivyo kuongozeni, na wabashirie wafanyao mema."

Qur'an 22:37
 
picha kidgo mkuu tuhakikishe
 
Watu wengine mna nongwa za ajabu hivi kanisa lishindwe kufany shughuli zake kisa wewe au kimchango chako?utakufa utaliacha hizi taasisi ni kubwa sana mkuu acha kujipa umuhimu
 
Kwahiyo mkuu ulitegemea kotoliki iishinde serikali?
Nelson Mandela, alishinda mfumo mzima wa apartheid! Akaja akawa Rais! Usiwaze kinyonge bro!
Kuwa kama Hamas vile!
Wangesimamia msimamo wao, walitembeza waraka kanisani mwezi mzima, wakisema mkataba ni mbovu,warudi watuambie,kipi kimebadirika, mpaka wamebadirisha msimamo? Mkataba umekuwa mzuri!
Hakimu amekuwa shahidi!
Aliyekuumiza, ndio anakuwa mfariji!
 
Hayo ameyasema Mama, tunataka wayathibitishe hayo TEC wenyewe kwa vinywa vyao ili tupate kuamini.
 
Ume
Umeona ulivyojidhihirisha km nilivyofikiri kuwa uko hivyo? Ndivyo hivyohivyo suala la kupingwa kwa mkataba wa uwekezaji bandari mlivyo lichukulia kwa mlengo na utashi wa kidini na siyo kwa manufaa ya taifa.
 
Hakuna lolote TEC wamechemka.
 
Kwa ufupi, Kitima anatakiwa atoe maelezo , aitishe press kufafanua nini kilijiri.
Hilo litakuwa ni jambo jema.

Lakini elewa, serikali yenyewe wamekwisha eleza hilo, hata kama ni kwa uchache.

Kitima kuwepo hapo, maana yake alipewa mwaliko maalum, ili kuisafisha serikali mbele ya macho ya wananchi.
Angekataa mwaliko huo, na huku alishashirikishwa kwenye marekebisho?

"Kutoa maelezo" unakokutaka, maana yake ni kushiriki katika kuisafisha serikali; hata katika mambo mengine ambayo hayahusu mkataba huu. Hilo haliwezi kuwa jukumu la TEC.
 
Ndugu Kalamu,

Hadi sasa wananchi hatujayaona marekebisho hayo zaidi ya kusimuliwa,

Maelezo yake kwamba ameona marekebisho waliyoyapigia kelele yametatuliwa katika Mkataba, ingeondoa sintofahamu.
 
Ndugu Kalamu,

Hadi sasa wananchi hatujayaona marekebisho hayo zaidi ya kusimuliwa,

Maelezo yake kwamba ameona marekebisho waliyoyapigia kelele yametatuliwa katika Mkataba, ingeondoa sintofahamu.
Mimi ninakubaliana na wewe katika hili, lakini wakati huo huo inabidi utambue kuwa ni kama unatafuta njia ya kuwapambanisha na serikali.
Serikali ilisalimu amri, hili siyo jambo la kukisia tena.

Ifahamike pia kwamba, hawa TEC siyo watu wa kutishwa, wala kupewa chochote ili wakubaliane na jambo wasiloliamini.
 
Hakuna logic ya kufanya hivyo na Hilo sio lengo la kanisa.Nadhani hujui misingi ya waraka.Waraka hauandiliwi tu kufurahisha watu huwa ni ujumbe mahisusi
Acha sound bana. Hivi kwanini hua hamuamini kwamba hawa viongozi wenu nao ni binadamu na hawajakamilika? Hua nao wanakosea msiwe watetezi wao kwa kila kitu
 
Alihudhuria bila kuambiwa ni events gani ,kadi imeandikwa ni hafla ,baada ya kuwasili anashtuka ni mkataba wa bandari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…