Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 9,189
- 16,128
Uongozi kwenye timu au?Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
Ukomo wa uongozi ni kitu muhimu katika demokrasia kwa sababu unatoa nafasi kwa watu tofauti na vizazi tofauti kuongoza. Baada ya muda fulani kiongozi mmoja anafikia "development fatigue" anakuwa hana mawazo mapya.Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
Iwapo timu inaendeshwa kidemokrasia.Uongozi kwenye timu au?
Nasikia Karia hana mpango wa kuachia ngazi...Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?
Unanikumbusha zidumu fikra za...........?Wakuu naomba kujuzwa. Uwepo wa ukomo wa uongozi ni kigezo muhimu cha uwepo wa demokrasia, au demokrasia haithiriki kitu bila uwepo wa ukomo wa uongozi?