Uwepo wa Wagner Group Africa ni tishio kwa usalama wa nchi zetu

Uwepo wa Wagner Group Africa ni tishio kwa usalama wa nchi zetu

Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.

Tunawakaribisha sana, maana hata kama hawapo hakuna usalama dhidi ya ccm kwa wananchi.
 
Hao wagner wangeanza kufanya operation tokomeza kina alshabab na ndugu zake wote kwanza
 
Putin ameshindwa kuwa aman na majirani zake et suddenly he started romancing with Africa countries.

Putin yuko desperated na ameamua kuja kuimaliza kabisa Africa na genge lake la Wagner.
Urusi ni Taifa kubwa kieneo duniani
Ina majirani wengi kuanzia Uchina, Kazakhstan, Mongolia, Japan, USA, Tajikistan, Uzbekistan, Turkmenistan, Belarus na wengineo.

Kwa hiyo Taifa Moja la Wakirene haliwezi FUTA historia yake nzuri
 
Putin ameshindwa kuwa aman na majirani zake et suddenly he started romancing with Africa countries.

Putin yuko desperated na ameamua kuja kuimaliza kabisa Africa na genge lake la Wagner.
Jeshi kubwa la Nato, wakiwa na silaha nzito na uchumi mkubwa mno wanasubir nini kumtoa Putin madarakani? Putin huyu ambaye wanasema yupo kwenye msongo wa mawazo anawashinda nini,?

Amechukua takribani 24% ya ardhi ya Ukraine, mpaka sasa yupo Ukraine anakitembeza, west wanashindwa nini?

Ikiwa wanamshindwa pale ulaya, wataweza huku Africa? Ikiwa Wagner watatawanyika hadi huku kusini mwa jangwa la Sahara, hali itakuaje? Mbona tuliambiwa urusi ni nchi masikini na uchumi mdogo, anawezaje yote haya?

Juz Putin (ambaye yupo desperate) ametoa msamaha mkubwa wa trilioni za pesa kwa Africa, si hivyo tu ameahidi kugawa ngano bure kabisa kwa Africa, hichi kitu hata matajiri na wababe hawajawahi kufanya, je story tunazopewa kua urusi ni masikini ni story za kubumba? Wanawezaje yote haya?

Serikali ya urusi imetoa onyo kali kwa wanaofikiria kumtoa madarakani rais mwanajeshi wa Niger, mpaka sasa si West wala waafrica wenzetu ECOWAS walioketa 'fyoko fyoko' wanaogopa nini?
 
Dhana ya kuibiwa ni ya kipuuzi zaidi na uimbwa na watu wa calibre hiyo.

Leo mmegawa Bandari kwa ahadi ya Tende na kujengewa misikiti then mnakuja kulia lia kuwa mnaibiwa.
Putin ameshindwa kuisadia nchi yake japo kuwa na rasilimali nyingi kuliko nchi yoyote leo hii ndiyo aje aikomboe Africa Bala la giza kila kitu?

Akili kimkichwa.
Hao waliozisaidia nchi zao wamezisaidia nini ambacho raia wa Urusi hawana?
 
Kwani Urusi naye sio beberu? Kuwa anawapenda sana Watu weusi? Endelea kumuinamia uone
Afrika hatuna pesa. Tuna lasri mali. Urusi hana njaa na lasirimali anazo za kutosha. Ye anachotaka tu ni kuungwa mkono hana cha kuchukua huku
 
Afrika hatuna pesa. Tuna lasri mali. Urusi hana njaa na lasirimali anazo za kutosha. Ye anachotaka tu ni kuungwa mkono hana cha kuchukua huku
Hakuna nchi ambayo ina rasilimali kama Marekani, ni kama utajiri ulivyo huwa hautoshi kamwe
Marekani ndio mzalishaji mkubwa wa mafuta duniani lakini hayamtoshi, ana dhahabu, misitu na ardhi kubwa lakini bado havimtoshi
 
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
Tishio kwa nchi za Afrika, ni viongozi majizi, wanaoiba rasilimali za Afrika na kufanya wananchi wawe maskini,
JPM alitumia pesa ya umma, aka Jenga airport chato,haina faida,
 
Pia Wagner inaweza kuwa suluhu kwa viongozi wajinga wa Africa ambao ni vibaraka wa mabeberu na wapo kwa maslahi binafsi.
unatoka ccmu A unaenda ccmu B ambayo ndo mbaya zaid , una kuwa umepata suluhu , ebu fikiri mk binadam na sio kama kiumbe wa mwituni
 
Libya
Somalia
Congo
Boko Haram
Misri
Angola
Msumbiji (Cabo Delgado)
N.K

Je ni shughuli yao pia?
kwahiyo huchukui tahadhar mpk uione shughuli yao? kichwa kibov sana , ebu ingia youtube uone yanayoendelea huko Afrika ya kati ujue , wanabaka kuua na kuchoma makazi ya watu ila nguruw moja inaleta ushabik
 
Narudia tena, tunaikaribisha sana Wagner Africa ili tudeal na viongozi wapumbavu na wajinga then baada ya hapo tunadeal pia na wagner.
kwa nguv gan mlio nayo kudeal na wagner?
 
Hili ni tishio jipya la usalama Kwa nchi zetu za Africa.

Uwepo wa Wagner group Africa kunapelekea mapinduzi ya kijeshi kwa Serikali halali za Africa haswa zile zisizo egemea upande wa Urusi.

Uwepo wa Wagner group Africa kunaibua njia mbadala Kwa wanasiasa wetu wenye uchu wa madaraka kuchukua madaraka Kwa njia ya ujasusi.

Wagner group wana fedha, wana silaha nzito, wana jeshi la wahuni, wavuta bangi, watumiaji na wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya, ni rahisi kwa vijana wetu kujiunga na Wagner group Africa kuliko Alshabab au hata vikundi vingine vya ugaidi.

Hatari iliyopo ni viongozi wetu wa Africa kunyamaza na kuiunga mkono Urusi na kuwachukulia Wagner group kama kundi halali.

Tupandacho ndicho tutakachovuna.
Polen sana
 
Back
Top Bottom