sanalii
JF-Expert Member
- Oct 1, 2018
- 1,743
- 6,240
kama hukutoka tar 29 na unampango wa kufanya hivyo D9 bas nakushauri usijeingia mkenge wa hawa jamaa ukiamini wako pamoja na nyie, na nimasikitiko yangu kua bado Mange anauza narratives zile zile kua jamaa safari hi wamejipanga na wako pamoja na sisi, sii ni hatari sana.
kwanini nasema wanajeshi kuepo mtaani kumesababisha maafa zaidi tar 29?
1. Hawakukataza watu kuandamana, wananchi wengi wanawaogopa kama si kuwaheshimu wanajeshi, raiti kama wangeonesha kukataza, hata shangwe isingekua kubwa zaidi. naingetupunguza morali
2. pamoja na kutokukataza, walituunga mkono kinafiki na kutuambia tukazane tuchukue nchi yetu, haya maneno nayakumbuka hadi ssa, na binafsi najiona mjinga kua hili lilizidi kunipa moraly ya kuona tuko pamoja.
3. mbaya zaidi hawakutulinda pale tuliposhambuliwa, kuna sehemu tulifika ikawa sisi na wanajeshi tuko upande mmoja na polisi wako upande wa pili, cha ajabu, tulipigwa mabomu tukaanza kutawanyika, jamaa wakati tukitaftana, wanajeshi waliondoka na kutuacha.
4. walikutana na jamaa wasio na uniform na hawakufanya kitu, wale wauaji walikua wakikutana na wanajeshi, wanawasha gari wanaondoka bila wasi, wanajeshi nao wanapita.
kutokana na haya huu ndio mtazamo wangu wa kwanini jeshi lilifaya hivi.
1. walikua sehemu ya intelejia ya kutukushanya waandamanji ili tupigwe vizuri
au
2. walikua na ajenda yao binafsi ya kuonesha hawakubaiani na serikali ili wanasiasa wawaongezee ulaji wao(malupulupu)
au
3. labda ni kweli walikua pamoja na sisi lakini ni wale wanajeshi wa ngazi ya chini sana ambao hawana nguvu yoyote, hoja ya 1 na 2 ndio naamini zaidi.
hivyo, kama unampango wa kuandamana nakushauri, usije ukajichanganya.