Econometrician
JF-Expert Member
- Oct 25, 2013
- 17,929
- 33,764
Kutokana na uchambuzi wangu,nafasi hii naona inaenda moja kwa moja kati ya watu hawa 3.
1.Prof.Kilila Mkumbo-70%
2.Prof.Palamgamba Kabudi-10%
3.Prof.Adolf Mkenda-20%
Sababu.
1.Nafasi hiyo haihitaji mtu awe
maarufu kuliko bosi wake,
2.Ni lazima awe Mkristo na mwenye busara-ukiangalia baraza la mawaziri wa Mh.Rais ni hao 3 ndio wana qualify
3.Kumchukua Kitila kwa kiasi fulani kinadharia inaweza ikawa rahisi ku deal na issue ya chadema.
Ingekuwa mie Mh.Rais ningeenda na Prof.Kitila Mkumbo.