2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.
Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.
Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Ungejua kitakachoipata CCM kabla uchaguzi mkuu ujao usingesema haya.2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.
Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.
Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Safi sana. Sasa CCM wanaenda kuwa watawala na wapinzani kwa wakati mmoja. Prof. Lipumbavu sasa awe sehemu ya serikali. Apewe uwaziri wa Fedha, Uchumi na mipango. Beatiful game.2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.
Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.
Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
Na maccm mumejaa usenge tuNdiyo mnapokosea nyie wapinzani, vinywa vyenu vimejaa lugha chafu.
Mtasema yote mwisho mtasema TLP kitakuwa chama kikubwa cha Upinzani maana mmevurugwa2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Na hii ni kwasababu ya CHADEMA kuonesha kuzidiwa kimbinu na fitina na CCM.
Ikumbukwe hadi wakati huu CUF hawajatangaza kujitoa katika mbio za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kama walivyofanya CHADEMA na ACT. Kwa muktadha huo wao CUF watashindana na kwa watapata viongozi wa Serikali za Mitaa na hao ndio watakaosafisha njia ya chama chao CUF hatimaye katika Uchaguzi Mkuu mwakani kuwapata Viti vingi vya uwakilishi Bungeni.
Hongera CUF kwa ukomavu wenu wa kisiasa.
2020 ni bayana sasa na dalili zote zinaonyesha kuwa Chama cha Wananchi CUF kinaelekea kuwa chama kikuu cha upinzani nchini Tanzania.
Jiwe ni Simba,Majaliwa ni Simba ,Samia Simba ,Sofia Simba,Bashite Simba,Dewji Sasa mba,Kigwangala Simba nk=Simba Fc .Kwahiyo nyie Simba ni CCM jipongezeni wazee .Usiehangae hii post ni kiongozi mkubwa kabisa wa chama au hata mwenyekiti wa sisiem stupid