Bila kusahau ya Liver na As Roma.Nkikumbuka ile come-back aliyopigiwa PSG naamin
Ila mbona barca inaandamwa sana majuzi tu wamechomoka kwenye hiiYeah na kwasababu documents zipo naimani hii ngoma haitachukua muda mrefu mbichi na mbivu zikajulikana.
Final na arsenal 2006,refa aliyepangwa tangu mwanzo alidai kuumwa siku ya mechi,akapewa urefa refa ambaye wakati anataarifiwa alikua kavaa jezi ya bBarcelonaNikikumbuka mechi yao ile na Chelsea dah,Kama Kuna ka ukweli hv
Alievaa jezi hakupewa mechiFinal na arsenal 2006,refa aliyepangwa tangu mwanzo alidai kuumwa siku ya mechi,akapewa urefa refa ambaye wakati anataarifiwa alikua kavaa jezi ya bBarcelona
Babu, Barcelona walikua wakibebwa iko wazi na kila mtu alikua akilalama,dhidi ya Chelsea Hadi drogba akataka kumpiga refa, kadi ya pili ya njano ya van persie katika game ambayo Barcelona alikua kapigwa mbili Emirates na unamjua van persie,final 2006 hata refa mwenyewe alikiri kufanya makosaHuu ni ugomvi wa kisiasa kati ya Rais wa la Liga Javier Tebas na Joan Laporta Rais 2a Barcelona...
Sasa kwenye like game walipendelewa NINI ??! Tuanze hapoNakumbuka ilikuwa 2016-17 UEFA ile PSG wakiongoza kwa goli 4 second leg hatua ya 16 bora mwishoni mabao ya jumla yakawa 6-5[emoji1787][emoji119]
KESI yenyewe unafahamu inahusianaBabu, Barcelona walikua wakibebwa iko wazi na kila mtu alikua akilalama,dhidi ya Chelsea Hadi drogba akataka kumpiga refa, kadi ya pili ya njano ya van persie katika game ambayo Barcelona alikua kapigwa mbili Emirates na unamjua van persie,final 2006 hata refa mwenyewe alikiri kufanya makosa
Connection mattersKESI yenyewe unafahamu inahusiana
Na nn?
NEGREIRA alikuwa la Liga na hii KESI ni kati ya la Liga na Barcelona na sio UEFA sababu hakuna refa wa kispain anayeweza kuchezesha timu za taifa lake UEFA..
Haihusiani na michuano ya UEFA KESI
Hii ya NEGREIRA sawa.
Umeeleza vizuri SANA SANA na huu ndo uchambuziHuu ni ugomvi wa kisiasa kati ya Rais wa la Liga Javier Tebas na Joan Laporta Rais 2a Barcelona.
Tokea Laporta awe rais wa Barca mwaka 2021 na tokea Laporta awe na msuguano na Tebas kuhusiana na superleague na mkataba wa CVC
Tebas alitaka vilabu vyote Hispania waingie mkataba na CVC na mkataba wa CVC una kipengele cha kutokubali superleague
Laporta amekuwa mstari wa mbele kuikataa CVC na kuhamasisha superleague tokea hapo Tebas amekuwa na malumbano na Laporta na Barcelona na amekuwa na stance ngumu kwa Barcelona kwenye maamuzi mengi tokea
2021 Hadi sasa
Juzi Tebas anasema jambo jema kwa chama cha soka Spain ni kumuondoa Laporta Barcelona?sababu
Kubwa ni msuguano wa superleague kadhihirisha chuki zake wazi
KESI YA NEGREIRA
NEGREIRA alikuwa makamu rais wa chama cha marefa Spain.Negreira ana
Kampuni yake inayojihusisha na uchambuzi wa maamuzi uwanjani na makosa ya wachezaji ni kama vile kipindi Cha kipenga Cha Azam..
Sasa Barcelona waliingia mkataba na
Kampuni ya NEGREIRA Ili kuwapa technical report ya makosa na masuala mengine ya uwanjani na ushauri nk
Mahakama ya Spain inasema ktk uchunguzi wao hawajakuta rushwa yeyote Kwa marefa
-Hawajakuta uthibitisho wa malipo kwa refarii yeyote yule
-kipindi Cha malipo NEGREIRA hakuwa refarii
-hakuna uthibitisho kwamba malipo kwenye kampuni hio ya uchambuzi yaliweza kuathiri matokeo
Javier Tebas ndiye aliyepeleka KESI hii mahakama ya Spain ,na ndiye ameipeleka
UEFA na akifeli amesema ataipeleka fifa
Tebas ana chuki na Laporta na yote hayo ni
Sababu ya Laporta na superleague na sababu zinginezo
Hadi anasema anataka Laporta aondoshwe
View attachment 2563326