Tetesi: Uwezekano wa bomba la Uganda kurudi Kenya

The fact that Uganda wenyewe waligundua 6 billion barrels za oil tangu 2005 na Hadi dada hakuna lolote la maana limefanyika..... Hio inatosha kukujulisha kua Jamaal watachukua milele kumaliza mradi... Alafu dada uongezee na Tz ....... Itabidi tungoje 2035

Watazungushana sana hawa.....
 
Huwa narudia, Kenyans got this blind Aggressive Mind, Hizi haraka zenu mara zote zimewapeleka Chaka, Not everything need to be rushed,
 
Wakenya ni Vilaza sana, mnafikiri watu wana akili ya Kikenya ya Kukurupuka bila mipango,
Ukiona watu wenye Akili timamu wamefikia hatua ya kuwekeana saini kwenye Miradi mikubwa kama hii basi Tambua wameshafanya all meta analyses na maamiuzi yaliyofikiwa ni Sahihi Zaidi, Hapa sio suala la kuzindua Greenfield Terminal ama New York [emoji574]️
I think this is far beyond Kenyan way of Doing things.
And I may again remind you that we may have to expect another delay on This Huge Pipeline project,
Watu kama somko na wakenya wengine wanadhani mradi kama huu huisha kwa miezi mitatu kama kuchora BRT only Barabarani
 
Hata kama wataachiwa wapitishe Mafuta Bure kwa hiyo miaka bado kutakuwa na faida tuu.

Mafuta ya Uganda yatachimbwa kwa Miaka 86 kwa rate hii ya 200k kwa siku.

Akili nyingi inatumika kwenye hili.
 
Wakenya ni Vilaza sana, mnafikiri watu wana akili ya Kikenya ya Kukurupuka bila mipango,
Ukiona watu wenye Akili timamu wamefikia hatua ya kuwekeana saini kwenye Miradi mikubwa kama hii basi Tambua wameshafanya all meta analyses na maamiuzi yaliyofikiwa ni Sahihi Zaidi, Hapa sio suala la kuzindua Greenfield Terminal ama New York [emoji574]️
I think this is far beyond Kenyan way of Doing things.
And I may again remind you that we may have to expect another delay on This Huge Pipeline project,
Watu kama somko na wakenya wengine wanadhani mradi kama huu huisha kwa miezi mitatu kama kuchora BRT only Barabarani
Show us a project either Tanzania or Uganda have completed in the last 10 years.... Nyinyi ni panganga mob.. all talk no show
 
Hii pipeline nilisema kitamboooo kuwa haiendi Tanzagiza na wengi wakabisha sana but sasa kinaanza kueleweka...No economic sense whatsoever to have a pipeline pass through a country with no oil whilst there is another viable route with vast amounts of the same yani lazima economy of scale iangaliwe. Povu ruksa
 
Kaa pembeni utazame watu na akili zao wakicheza hili gemu.
Besides it is better to complete nothing than completing something like china sgr in kenya
 
Show us a project either Tanzania or Uganda have completed in the last 10 years.... Nyinyi ni panganga mob.. all talk no show
Kuna pipeline zaid ya tatu zinapiga kazi
Gas pipline Dar -Mtwara
Songo songo gas pipeline
Tazama pipeline
 
Lakini ukisoma hapo utaona nyie ndio mnalianzisha, mnaibua chokochoko......Mlifaa muachie mliwe tu maana mlishakubali tangu hapo mwanzo.
SIKU NYINGINE UKIOTA UNAKUNYA USIKU/UNAKOJOA WAKATI UMELALA TAFADHALI USIFANYE HIVO... Utalowanisha kitanda na kukichafua bure
 
Huwa narudia, Kenyans got this blind Aggressive Mind, Hizi haraka zenu mara zote zimewapeleka Chaka, Not everything need to be rushed,
Hakuna haja ya kungoja milele kufanya kitu alafu bado kifeli.... Afadhali ujaribu ushindwe sahii ili next time ukijaribu tena unajua kipi usifanye....

Hii ndo maana unakuta hadi wa leo Kenya inaongoza hapa EA,..... Wakati nchi kama kama zenu hua zinangojea wengine wajaribu alafu wakiona matokeo ndo pia nyinyi mwafanya, Kenya ni nchi ambayo ndo itakua ya kwanza kujaribu.... That is not blind aggressive... Its just a need to see things get done!
 
Watazungushana sana hawa.....
Niligundua pia M7 naye ni mzee wa maneno makubwa lakini matendo hamna..... Mbali na ile Kampala Expressway hakuna project yoyote kubwa amefanya... Lakini ukifwata twitter handle yake utafikiri Uganda ni future infrastructure hub...
 
The fact that Uganda wenyewe waligundua 6 billion barrels za oil tangu 2005 na Hadi sasa hakuna lolote la maana limefanyika..... Hio inatosha kukujulisha kua Jamaa watachukua milele kumaliza mradi... Alafu sasa uongezee na Tz ....... Itabidi tungoje 2035

you are always speaking with facts and figures, what's wrong with you today!!?
 
Show us a project either Tanzania or Uganda have completed in the last 10 years.... Nyinyi ni panganga mob.. all talk no show

weee ni zuzu, huna ujualo.
na ile BRT ni nini!!!??
shenz wee
 
  • Thanks
Reactions: Oii
Vast amount? Hahahahaha
Hii pipeline nilisema kitamboooo kuwa haiendi Tanzagiza na wengi wakabisha sana but sasa kinaanza kueleweka...No economic sense whatsoever to have a pipeline pass through a country with no oil whilst there is another viable route with vast amounts of the same yani lazima economy of scale iangaliwe. Povu ruksa
 
Project gani Kenyaliyofanya na ikamalizika kwa ufanisi?. Kenya mnaongoza katika ukabila, rushwa, slums, njaa, na unemployment, vingine vyote ni ndoto, Tanzania imewaacha kwa mbali sana

Back
Top Bottom