Tetesi: Uwezekano wa bomba la Uganda kurudi Kenya

They said around 1.5 bln barrels ndiyo recovable., they are even revising the barrels discovered downwards, haujasoma in their news challenges facing the crude pipeline and refinery.,

Sent using Jamii Forums mobile app
That's the most minimal predictions to fix the incurring costs management lakini in reality ni 3.5 to 6 revocable billion barrels
 
Hahahah We Fisi kweli unasubiri nyama ibaki ule! Hata mfupa hautabaki. Nikuambie kitu kimoja lazima kuwe na process au makubaliano na mwisho wa siku wataafikiana kwa sababu kurudi Kenya ni kurisk biashara yao maana usalama ni 0%
 
Bro haya mahesabu sio kwa level yako hapo uswazi, yana wenyewe.
 
Ujinga mtupu wafanyakazi wa ITV hawajalipwa mshahara miezi sita , halafu mnamuona wa maana, charity starts at home
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…