Kuna wachezaji wakuwawekea mfano lakin co kipa no.1Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara makubwa. Tuwe na msimamo kama Mhe. Rais. Wale wafanyabiashara wa korosho wako wapi licha ya kubembeleza mara mia. Klabu iwe na msimamao hata tusipochukua ubingwa. Anatakiwa ajifunze.
hujui nini unazungumza wala unachozungumzia hukijuiBinafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara makubwa. Tuwe na msimamo kama Mhe. Rais. Wale wafanyabiashara wa korosho wako wapi licha ya kubembeleza mara mia. Klabu iwe na msimamao hata tusipochukua ubingwa. Anatakiwa ajifunze.
Na kwanini wachezaji wa bongo wanaleta jeuri ?? Hivi kakolanya kudaka mechi moja ya simba na Yanga kwa ustadi ndiyo amejiona staa sawa Sawa na pogba aliyebeba Kombe la dunia mpaka kukosa nidhamu kwa klabu inayomtunza na kumpandisha daraja la kiuchezaji mpaka kufika mbali kimafanikio?? Kama wachezaji wa simba walikuwa butu siku hio tutajuaje mpaka ikasababisha simba isifunge golli mpaka tuseme ni kakolanya alizuia? Nimeangalia mechi Yanga alipofungwa na rayon kakolanya alifungwa kizembe . Sasa kakulanya anatakiwa kujua yeye ni bado sana katika kiwango cha kimataifa nidhamu na mazoezi Pekee ndiyo itampandisha juu na sio lingoneBeno ni mjeuri na mhuni.
Hivi anaona shida gani kwenda kwa kocha na wachezaji wenzake kuomba msamaha?
Misumari yake kwa Kindoki itamsaidia nini mbele ya safari ndefu ya soka? Aende Simba haraka akaanzishe vita ya misumari na bingwa mwenzie Aishi Manula.
Aelelewe huyo tapeli anayejiita manager wake, anafanya kwa maslahI ya Simba siyo ya mchezaji Beno. Akishatumika kama toilet paper, watamtema.