Uwezekano wa Kakolanya kurudi Yanga

Uwezekano wa Kakolanya kurudi Yanga

Koryo2

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2016
Posts
2,056
Reaction score
2,519
Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga.

Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara makubwa. Tuwe na msimamo kama Mhe. Rais. Wale wafanyabiashara wa korosho wako wapi licha ya kubembeleza mara mia. Klabu iwe na msimamao hata tusipochukua ubingwa.

Anatakiwa ajifunze.
 
Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara makubwa. Tuwe na msimamo kama Mhe. Rais. Wale wafanyabiashara wa korosho wako wapi licha ya kubembeleza mara mia. Klabu iwe na msimamao hata tusipochukua ubingwa. Anatakiwa ajifunze.
Kuna wachezaji wakuwawekea mfano lakin co kipa no.1

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Binafsi kama shabiki mkubwa wa Yanga bado namuunga mkono kocha Zahera kwa uamuzi wake wa kukataa kumrudisha kakolanya kama kipa wa Yanga. Kitendo alichofanya hakivumiliki na kilileta madhara makubwa. Tuwe na msimamo kama Mhe. Rais. Wale wafanyabiashara wa korosho wako wapi licha ya kubembeleza mara mia. Klabu iwe na msimamao hata tusipochukua ubingwa. Anatakiwa ajifunze.
hujui nini unazungumza wala unachozungumzia hukijui

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Rudisha Beno huyo KIII-NDOOO-KIIII ni blanketi aisee aka pazia la hatari.
 
hii mara ya 4 shishimbi anai gomea yanga lakini mwisho siku akina 'mtotto ya ng'ombe' wakimchana minoti yake anarudi kambini na zahera anampokea kikosini. yondani, makambo na hata ajibu waliisha wahi goma kisa maslahi na zahera haja wahi kuwasumbua kwa lolote, leo hii kakolanya akidai chake zahera anamtenga na kumfukuza kikosi, huyu kocha ana lake jambo ambalo wanayanga hawaja lielewa
 
Sijui ni kwa nini! Ila nimekua nikiamini akilini mwangu ya kuwa Kocha Mwinyi Zahera hakufurahishwa na kitendo cha kipa mzawa Beno Kakolanya kuchukua nafasi ya kipa namba moja ktk timu baada tu ya kipa na ndugu yake aliyemleta Jangwani, mkongomani mwenzake Kindoki kuonekana ni pazia na garasa ktk mechi kadhaa alizodaka na hivyo kumtafuta Kakolanya anase kwenye 18 zake ili amkomeshe.
Busara inatakiwa imuongoze kocha kama kweli anautaka ubingwa! amsamehe na kumrudisha kipa no.1 kundini. Mbona wengine walikosa na aliwasamehe? Kakolanya ni Mungu kiasi kwamba hakutakiwa kukosea? Kwa aina ile ya magolikipa waliobaki, Yanga kuchukua ubingwa itakua ni bahati nasibu. Na mechi ya kiporo na Simba tusishangae kufungwa magoli mengi. Sare haitakuwepo. Tujikumbushe mechi ya awali namna Kakolanya alivyoiokoa timu hadi kupata sare.
 
Beno ni mjeuri na mhuni.

Hivi anaona shida gani kwenda kwa kocha na wachezaji wenzake kuomba msamaha?

Misumari yake kwa Kindoki itamsaidia nini mbele ya safari ndefu ya soka? Aende Simba haraka akaanzishe vita ya misumari na bingwa mwenzie Aishi Manula.

Aelelewe huyo tapeli anayejiita manager wake, anafanya kwa maslahI ya Simba siyo ya mchezaji Beno. Akishatumika kama toilet paper, watamtema.
 
Na kwanini wachezaji wa bongo wanaleta jeuri ?? Hivi kakolanya kudaka mechi moja ya simba na Yanga kwa ustadi ndiyo amejiona staa sawa Sawa na pogba aliyebeba Kombe la dunia mpaka kukosa nidhamu kwa klabu inayomtunza na kumpandisha daraja la kiuchezaji mpaka kufika mbali kimafanikio?? Kama wachezaji wa simba walikuwa butu siku hio tutajuaje mpaka ikasababisha simba isifunge golli mpaka tuseme ni kakolanya alizuia? Nimeangalia mechi Yanga alipofungwa na rayon kakolanya alifungwa kizembe . Sasa kakulanya anatakiwa kujua yeye ni bado sana katika kiwango cha kimataifa nidhamu na mazoezi Pekee ndiyo itampandisha juu na sio lingone
 
Back
Top Bottom