BabaMorgan
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 4,869
- 13,137
Inawezekana lakini msoto wake utakua na meengi sana ya kusimulia!Nipo najaribu kutafakari nawezaje kufanikiwa from nothing yaani ile zero to something nakosa majibu wakati Mimi nakosa majibu Kuna mtu anatoa ushuhuda wa kuanza na biashara ya mtaji wa elfu kumi mpaka kufanikiwa kumiliki biashara ya mamilioni inawezekanaje wakuu.?
Motivation Kila mtu anaweza kutamka ila uhalisia ndio changamoto yenyeweThe only impossible journey is the one you never begin. ~Tony Robbins
Kuna tofauti gani kubwa kati ya hamasa na ushauri ulioomba?Motivation Kila mtu anaweza kutamka ila uhalisia ndio changamoto yenyewe
Mtoa mada chambua hii sentence na uielewe..na jibu liko hapahapaCha halali ni kigumu sana jamani..!
Inawezekana ila akisaidiwa na mbinu za ki-mafia...