Uwezekano wa kupata mtoto wapenzi wenye blood group moja

Wakuchanja

Member
Joined
Oct 12, 2017
Posts
82
Reaction score
54
Habarini wana jf,
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo mimi na mpenzi wangu tuna blood group O+ wote sasa linakuja swala lakumtafuta mtoto je hii kitu inawezekana? kwasababu tulijaribu moja mimba ilipofikia mwezi ilitoka bila sababu

Wajuzi Masada plz
 
Habarin wanna jf,
Kama Kichwa kinavyojieleza hapo Mimi na mpenz Wang tuna blood group O+ wote sasa linakuja swala lakumtafuta mtoto je hii kitu Inawezekana?. Kwasababu tulijaribu moja mimba ilipofikia Mwez ilitoka bila sababu

Wajuzi Masada plz
Suala la kundi lenu la damu sioni likihusika kusababisha miscarriage...

Nenda kwa wataalamu wa afya ya uzazi mkafanye vipimo stahiki...
 
Naona madr wa JF wamelala siku hizi
 
Mkuu huyo achana nae nipe mie huyo dem nitakutafutia wa kuliplesi utapata mtoto usijali
 
sahv haina shida mnachomwa sindano kila ktu kinaenda poa haijalishi mpo magrup gani
 
Mke wangu ana group a postive na mimi nina group a postive..
Kina uwezekano wa kumpata mtoto wa pili, maana tushazaa mtoto mmoja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…